Alikuwa ofisa Wa TAC Tanzania Audit Cooperation na makazi yake yalikuwa Masaki flats pale chole road jirani na International school of Tanganyika..(IST)Mtunzi wa hizo riwaya alikuwa na CPA ya uhasibu
Mkataa pemaNapenda kujua kitabu gani cha mwisho marehem musiba alikiandika hasa vya riwaya
Riwaya kama bado mbichi vile[/QUOTE
Mkuu Gentries, kwenye ulimwengu wa dunia kiganjani, una google tuu links zinakuja, ila chapters zote mbona zimewekwa humu?, link ya nini tena, au unataka kudurufu na kumuibia mwandishi akose pesa?.