king of zodiac
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 311
- 432
NIANZISHE UZI WA KIKOMO CHA ELVIS MUSIBA
Kiongozi anzisha haraka, tunasubiliNIANZISHE UZI WA KIKOMO CHA ELVIS MUSIBA
Anzisha tafadhali ila usikatishe plzNIANZISHE UZI WA KIKOMO CHA ELVIS MUSIBA
Kuuliza tu hilo swali la kutaka kuanzisha uzi wa kikomo nimepata shaka juu ya ufalme wako zodiac sasa tuombe radhi kwanza kwa kutuliza hivi kisha anzisha uzi mara moja.NIANZISHE UZI WA KIKOMO CHA ELVIS MUSIBA
TayariKuuliza tu hilo swali la kutaka kuanzisha uzi wa kikomo nimepata shaka juu ya ufalme wako zodiac sasa tuombe radhi kwanza kwa kutuliza hivi kisha anzisha uzi mara moja.
We anzisha tu baba mateja tupo as usualNIANZISHE UZI WA KIKOMO CHA ELVIS MUSIBA
wapiTayari
Asante sana mkuuMtunzi wa hizo riwaya alikuwa na CPA ya uhasibu
Kiongozi nashukuru sana.Mpaka anafariki nadhani alikuwa MWENYEKITI wa Tanzania Chamber of Commerce
Yan watu wana vituko humu jamaan
Anzisha mkuu tupoooNIANZISHE UZI WA KIKOMO CHA ELVIS MUSIBA
We anzisha tu baba mateja tupo as usual
MmmhTayari
Mbona imeisha!!Stori imekatishwa?