Riwaya: Kiguu na njia

Nimerudi....
Lakini kabla ya mzigo, naomba niwatangazie wakazi wa Zanzibar, kwa anayehitaji vitabu hivi, nitakuwepo Zanzibar siku ya tarehe 16.10.2019. Kama ulikuwa unahitaji hivi vitabu lakini unaogopa kutuma pesa, sasa unaweza kuweka oda yako na nikakuletea siku hiyo. Kwa mawasiliano nipigie namba 0712504985.
Vitabu vipo aina kumi na tatu.
1. Kiguu na njia
2. Dar es salaam usiku
3. Pesa zako zinanuka
4. Zawadi ya ushindi
5. Mikononi mwa nunda
6. Mtambo wa mauti
7. Mikataba ya kishetani
8. Malaika wa shetani
9. Salamu toka kuzimu
10.Tutarudi na roho zetu
11. Roho ya paka
12. Dimbwi la damu
13. Najiskia kuua tena
Karibuni sana.
 
Hii kiboko.Nimepata kitu hapa:
"Uamuzi wangu ulikuwa kwenda Chunya, kujiunga na wachimbaji madini ili nikibahatika nirudi kwetu sina elimu lakini nina mali. Taarifa za kwenda kuzeekea huko na kufia huko ziliniacha hoi, taabani."
 
Karibia vitabu vyote vya dingi ako nimevisoma..ila mtambo wa mauti ni kiboko..alituliza akili mno kuiandika.
Dar usiku kwakweli naona hakuitendea haki ilivyoisha..bado inahitaji muendelezo.kama unaweza iandikie muendelezo..bonge moja ls stori.

Mungu amrehemu mzee wetu
IMG-20190108-WA0000.jpeg
 
Kiguu na njia:
.............
Tangu nilipoanza safari toka Buha hadi Uhayani na kisha Usukumani hadi Ufipa na sasa huku kwa Wanyakyusa nilijikuta nimeanza kupatwa na maradhi ya kupenda safari. Nilifurahia sana kuona sura mpya za nchi za watu, mazingira mapya na tamaduni mpya. Sikutaka mtu yeyote anishawishi vinginevyo kwa hilo.
 

Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom