Riwaya: Kiguu na njia

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,195
2,655
Kwa wapenzi wa vitabu vya Ben Mtobwa, kwa mara nyingine napenda kuchukua fursa hii kuvitangaza vitabu vya marehemu Ben Mtobwa kwamba sasa vinapatika hapa jijini Dar es salaam, maeneo ya Posta mkabala na sanamu la askari mbele ya duka la HD pharmacy, pia Kinondoni kituo cha Kanisani.

Vitabu hivi mpaka sasa vinapatikana aina kumi na tatu.

1. Mikononi mwa Nunda
2. Salamu Toka Kuzimu
3. Mtambo wa Mauti
4. Najisikia Kuua Tena
5. Tutarudi na Roho Zetu ?
6. Roho ya Paka
7. Dimbwi la Damu
8. Mikataba ya Kishetani
9. Malaika wa Shetani
10. Dar es Salaam usiku
11. Pesa Zako Zinanuka

Vitabu hivyo vyote vinapatikana kwa bei ya shilingi 10,000 za Kitanzania.

12. Zawadi ya Ushindi 7000
13. Kiguu na Njia 15,000

Kwa wale walioko mkoani unaweza kupata vitabu hivi kwa njia ya bus ambapo ukinunua kuanzia vitabu vinne na kuendelea pesa ya usafiri tutagharamia lakini ukinunua vitabu vitatu kushuka chini utagharamia usafiri kwa bei ya shilingi elfu tano.

Kwa maelezo zaidi jinsi ya kupata vitabu hivi, tafadhali tupigie kwa namba 0712504985 au 0763044459.

Lakini pia napenda kuileta kwenu riwaya ya Kiguu na njia especially kwa wale walioko mbali au hawana uwezo wa kuvipata vitabu hivi kwa namna moja au nyingine, basi riwaya hii itakujia kila siku. Itakufundisha na kukuburudisha. Kwa wale wanaokihitaji kitabu hiki pia kinapatikana.

Haki zote zimehifadhiwa, huruhusiwi kucopy au kuiuza popote pale bila idhini ya Heko Publishers Ltd.
 
Siti ya mbele mbele hapa, ngoja story ikisharushwa rushwa ndo ntaisoma.

Siwezi achwa na arosto mimi.
 
Mmoja wao alinitupia jicho. Wakabaini kuwa nafuatilia maongezi yao. Wakapunguza zaidi sauti zao na kuendelea kunywa.
Je ni jambo lipi lililomfanya baba na babu kuweka siri katika jambo hilo nisilolifahamu ? Fuatana nami kesho nikwambie jambo hilo na kwa nini lilikua siri.

Endeleaaaaaaaa
 
Vipi vitabu vya watunzi wengine naweza vipata pia
Kwa mfano kitabu cha marehemu Shaban Robert Kusadikika
Na kitabu cha Kezirahabi Rosa Mistka
 

Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom