Hatimaye nimefika ulipoishia, ahsante mamyHahaha jikaze usome tu kwa kweli
Mi mwenyewe napata shida kuzipata
Watumiaji wa browser wanafaidika na hii ishu ya notifications
Yaan mm humu jf kuna watu kama 5 hivi na Madame s naona kaongezeka sipati notification zao kabisa kuna hearly Bujibuji Palantir sijui ndio hivyo Archduke yaan nisiporudi kwenye thread niliyokutana nao sitajua kama wameniquoteUtakua mtu wa pili kunambia hivi sasa sjui tatizo ni nini
Hiyo ya kutag kwa sisi tunaotumi app ni janga sema mm siku mojamoja zinakujaga mtu akinitag eti basi nafurahi mwenyewe najionea maajabuPole sana
Mimi mfano mtu akinitag ndio huwa sipati kabsaa notification
Nimeambiwa mpaka tuungane PM ndio notification zangu utaziona!. Hebu jaribu kuniPM kwanza!..
pole sana,
hahahhaa ...napita tu""...Nimeambiwa mpaka tuungane PM ndio notification zangu utaziona!. Hebu jaribu kuniPM kwanza!..
Taa za kijani zilikuwa ON hakukuwa na haja ya kusimama!.. Ukishapita wewe kinachofata ni maumivu tu!..hahahhaa ...napita tu""...
haha hahhaa ""..."Aiseee"Taa za kijani zilikuwa ON hakukuwa na haja ya kusimama!.. Ukishapita wewe kinachofata ni maumivu tu!..
Yaan jana ndio nimeona hili tatizo jamani mpaka nirudi kwenye thread tuliyokutana ndio najua umeniquote kama hapa nimerudi huku nimejua mpo nisingerudi nisingejua chochotepole sana,
binafsi nimeacha kutumia app tangu 2014 sababu nilishindwa kuitumia, sijui hizi new version tho naona uvivu kuinstall ni mwendo wa website tu.
halafu hapa ndo nimejua sasa kuna uzi fulani hivi nilikutag na sikuona respond yako wakati sio kawaida yako
Nimeambiwa mpaka tuungane PM ndio notification zangu utaziona!. Hebu jaribu kuniPM kwanza!..