Riwaya : Kichaa

Pole sana
Mimi mfano mtu akinitag ndio huwa sipati kabsaa notification
Hiyo ya kutag kwa sisi tunaotumi app ni janga sema mm siku mojamoja zinakujaga mtu akinitag eti basi nafurahi mwenyewe najionea maajabu
 
Yaan mm humu jf kuna watu kama 5 hivi na Madame s naona kaongezeka sipati notification zao kabisa kuna hearly Bujibuji Palantir sijui ndio hivyo Archduke yaan nisiporudi kwenye thread niliyokutana nao sitajua kama wameniquote
pole sana,

binafsi nimeacha kutumia app tangu 2014 sababu nilishindwa kuitumia, sijui hizi new version tho naona uvivu kuinstall ni mwendo wa website tu.

halafu hapa ndo nimejua sasa kuna uzi fulani hivi nilikutag na sikuona respond yako wakati sio kawaida yako
 
Yaan jana ndio nimeona hili tatizo jamani mpaka nirudi kwenye thread tuliyokutana ndio najua umeniquote kama hapa nimerudi huku nimejua mpo nisingerudi nisingejua chochote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom