Riwa: NImekwazika kupita kiasi..

Riwa

Platinum Member
Oct 11, 2007
2,607
3,065
Kuna uzi ulianzishwa kuhusu 'athari za tiGO'...nami nikachangia kutokana na taaluma na experience yangu nikihudumia waginjwa mbali mbali. Nikiwa na nia ya kutoa ukweli na kuelimisha jamii, naamini nina deni hilo kwa waTanzania kwani nilipata bahati/fursa ya kutumia kodi zao ili kupata taaluma hii. Na nimekuwa nikitoa elimu/ushuri/ufafanuzi wa masuala mbali mbali yahusuyo taaluma yangu si hapa JF tu, na forum nyingine mbali mbali kwa kuzingatia ukweli wa kisayansi. Kwenye thread ile ya 'athari za tiGO' nilikuwa nikifanya hilo.

Nimekwazika kukuta hii PM kwenye inbox yangu:

"habar mkuu Riwa. Aisee kwanza nakucfu ulivyo post ktk hyo thread juu. Ila nikuulize ww unaliwa au kula tigo? Cna nia mbaya isitoshe hatufahaamiani humu jf. "

Angeniuliza swali hili kwenye ile thread nisingechukulia kama ni kitu cha kukera au kunidhalilisha, lakini ameniPM, mtu huyu ana nia gani?...nimechukia!
 
mimi naona umreport kwa Paw na alimwe ban .
huyu mtu hafai kabisa kwenye hii jamii
pole sana dr wetu
kiukweli wewe ni mmoja wapo wa watu naowaheshimu sana hapa jamvini nimeumia sana..pole sana ndugu yangu
na atakuwa mwanaume tu huyo tena nishamjua
 
Last edited by a moderator:
Kuna uzi ulianzishwa kuhusu 'athari za tiGO'...nami nikachangia kutokana na taaluma na experience yangu nikihudumia waginjwa mbali mbali. Nikiwa na nia ya kutoa ukweli na kuelimisha jamii, naamini nina deni hilo kwa waTanzania kwani nilipata bahati/fursa ya kutumia kodi zao ili kupata taaluma hii. Na nimekuwa nikitoa elimu/ushuri/ufafanuzi wa masuala mbali mbali yahusuyo taaluma yangu si hapa JF tu, na forum nyingine mbali mbali kwa kuzingatia ukweli wa kisayansi. Kwenye thread ile ya 'athari za tiGO' nilikuwa nikifanya hilo.

Nimekwazika kukuta hii PM kwenye inbox yangu:

"habar mkuu Riwa. Aisee kwanza nakucfu ulivyo post ktk hyo thread juu. Ila nikuulize ww unaliwa au kula tigo? Cna nia mbaya isitoshe hatufahaamiani humu jf. "

Angeniuliza swali hili kwenye ile thread nisingechukulia kama ni kitu cha kukera au kunidhalilisha, lakini ameniPM, mtu huyu ana nia gani?...nimechukia!

Pole mkuu,, Sasa unaweza kumuanika hapa ili tumfahamu(ila angalia Privacy issues kabla). PM yake ina matatizo yafuatayo;;

"habar mkuu Riwa. Aisee kwanza nakucfu ulivyo post ktk hyo thread juu. Ila nikuulize ww unaliwa au kula tigo? Cna nia mbaya isitoshe hatufahaamiani humu jf. "

Lugha aliyotumia kama sio binti atakuwa mtoto wa kiume binti. Pia unaona mwisho anajaribu kujitetea, nadhani umetumiwa message na mtu asiye straight.

Pole sana mkuu
 
....Nimekwazika kukuta hii PM kwenye inbox yangu:

"habar mkuu Riwa. Aisee kwanza nakucfu ulivyo post ktk hyo thread juu. Ila nikuulize ww unaliwa au kula tigo? Cna nia mbaya isitoshe hatufahaamiani humu jf. "

Angeniuliza swali hili kwenye ile thread nisingechukulia kama ni kitu cha kukera au kunidhalilisha, lakini ameniPM, mtu huyu ana nia gani?...nimechukia!
Pole sana. Labda ungemuuliza nia yake (maana amesema sio nia mbaya).
 
Pole.Lakn ujue hiyo ni kawaida ya binadamu.Wengine ni wagumu sana wa kuelewa,wengine wanapenda sana kuhukumu wenzao na wengine ni wajinga tu.....Ukiwa docta yakupasa uwe mvumilivu kwani unakutana na kila aina ya watu na tabia zao..Msamehe bure and take it easy...
 
  • Thanks
Reactions: Paw
so sorry doc,.. Shit happens sometimes.. Usiruhusu mtu anonymous akuharibie siku,,, mclick then muweke kwenye ''ignore list'' kwisha habari yake
 
Riwa zamani sikujua kauli hii "elimu ni siasa". Au kila kitu ni politiki mpaka later in life. Ndio maana mapadre wanakuwa careful nini wanachofundisha, na ndio maana waumini hata kama tuna maPHD kwenye fields zetu bado twaitwa laymen na kanisa.

Elimu uliyoitoa kule (niliisoma bila kucomment), haiwafai watu wote kwani inaweza chochea zaidi, na nashukuru umepata dose ya elimu yako. Mtoa elimu anachagua nini cha kufindisha akiwa na objective tayari. Sasa obejective yako ilikuwa watu waelewe na wafanye informed decision kama ulivyoelimishwa na maliberal waliofanya hizo tafiti na kuandika mavolume (BTW sijui humanity inafaidika nini kujua kuwa TIGO haina madhara, any way siko huko).

So the guy got curios na kwa maoni yangu hajafanya kosa lolote kutaka kujua sex preferense yako. Na nafikiri ni mstaarabu sana ndio maana akaluandikia PM badala ya kufaidisha watu, hivyo sioni sababu ya wewe kuwa offended after all si maumbile tu ambayo mnasema mtu kaumbwa nayo!
 
Last edited by a moderator:
Kuna uzi ulianzishwa kuhusu 'athari za tiGO'...nami nikachangia kutokana na taaluma na experience yangu nikihudumia waginjwa mbali mbali. Nikiwa na nia ya kutoa ukweli na kuelimisha jamii, naamini nina deni hilo kwa waTanzania kwani nilipata bahati/fursa ya kutumia kodi zao ili kupata taaluma hii. Na nimekuwa nikitoa elimu/ushuri/ufafanuzi wa masuala mbali mbali yahusuyo taaluma yangu si hapa JF tu, na forum nyingine mbali mbali kwa kuzingatia ukweli wa kisayansi. Kwenye thread ile ya 'athari za tiGO' nilikuwa nikifanya hilo.

Nimekwazika kukuta hii PM kwenye inbox yangu:

"habar mkuu Riwa. Aisee kwanza nakucfu ulivyo post ktk hyo thread juu. Ila nikuulize ww unaliwa au kula tigo? Cna nia mbaya isitoshe hatufahaamiani humu jf. "

Angeniuliza swali hili kwenye ile thread nisingechukulia kama ni kitu cha kukera au kunidhalilisha, lakini ameniPM, mtu huyu ana nia gani?...nimechukia!

Pole ndugu yangu. Humu kwenye mitandao ya kijamii mara nyingi tunajikuta tunatuma na kupokea meseji za aina mbalimbali zinazofurahisha na kukera pia kama hii uliyopokea wewe. Ni ngumu sana kumuelewa huyo mtu alikuwa anamaanisha nini.

Ila ungeweza kumjibu kwa kifupi kuwa wewe ni Daktari kitaaluma na uliposti mada hiyo kwa lengo la kuwafunza watu kujua madhara ya huu mchezo na kamwe si mshirika wa michezo ya namna hiyo. Kuendelea kumfikiria zaidi kunaweza kukuumiza zaidi. Mpotezee!
 
Pole sana Riwa, Ahsante pia kwa kazi nzuri kwa sababu kama hukusema ulichosema jana basi mimi ningesema kwa sababu ni kweli kuwa Mzizimkavu alikuwa anapotosha jamii kwa kuongea masuala ya kisayansi huku akifikiri kwa kutumia hisia zake.... Samahan kwa kutaja jina bt naamini JF is still a place where we dare to talk openly
 
Pole sana Dr. Just take it easy!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pole sana Riwa
Kumbuka kuwa kila binadamu ana hulka yake msamehe na songa mbele
 
Last edited by a moderator:
Every human being has certain features of psychosis, mental retardation etc, this is one of them Don't mind
Msamehe bure
 
Dr Riwa usikute ni mgonjwa huyo(Analiwa tiGo) ebu mdadisi vizuri atiririkeeeee!!!
 
Last edited by a moderator:
Mtaje jina alafu niekezeni huo uzi upo jukwaa gani ili nielekee.
 
Pole msamehe bure sentensi moja utayosema inaweza kutafsiriwa kwa maana kumi tofauti na watu tofauti sio kila mtu anaelewa sawa na wewe pale unapojaribu kufikisha ujumbe.
 
Pole ndugu yangu. Humu kwenye mitandao ya kijamii mara nyingi tunajikuta tunatuma na kupokea meseji za aina mbalimbali zinazofurahisha na kukera pia kama hii uliyopokea wewe. Ni ngumu sana kumuelewa huyo mtu alikuwa anamaanisha nini.

Ila ungeweza kumjibu kwa kifupi kuwa wewe ni Daktari kitaaluma na uliposti mada hiyo kwa lengo la kuwafunza watu kujua madhara ya huu mchezo na kamwe si mshirika wa michezo ya namna hiyo. Kuendelea kumfikiria zaidi kunaweza kukuumiza zaidi. Mpotezee!
Doctor pole sana,naamini kwa busara zako nyingi utapuuza hayo maneno yake ya kihuni na yasiyo na tija kwa jamii,endelea kutoa ushauri kwa jamii mkuu hizo ni changamoto za maisha tuu
 
mkuu Riwa, nikweli hayo maneno yanakera sana ila mimi nimejaribu kufikiria kwa utofsuti kodogo. Huenda jamaa hakuwa na maana mbaya ndio maana alikupm ili kuleta usecrecy. Huenda yeye ni kweli anakula au kuliwa tigo na sasa anatafuta wenzie ili wapeane uzoefu. Kwahiyo mkuu usimshangae sana ndivyo dunia ilivyo. Sanasana ungempa ukweli tu.
 
Back
Top Bottom