Riwa
Platinum Member
- Oct 11, 2007
- 2,607
- 3,068
Kuna uzi ulianzishwa kuhusu 'athari za tiGO'...nami nikachangia kutokana na taaluma na experience yangu nikihudumia waginjwa mbali mbali. Nikiwa na nia ya kutoa ukweli na kuelimisha jamii, naamini nina deni hilo kwa waTanzania kwani nilipata bahati/fursa ya kutumia kodi zao ili kupata taaluma hii. Na nimekuwa nikitoa elimu/ushuri/ufafanuzi wa masuala mbali mbali yahusuyo taaluma yangu si hapa JF tu, na forum nyingine mbali mbali kwa kuzingatia ukweli wa kisayansi. Kwenye thread ile ya 'athari za tiGO' nilikuwa nikifanya hilo.
Nimekwazika kukuta hii PM kwenye inbox yangu:
"habar mkuu Riwa. Aisee kwanza nakucfu ulivyo post ktk hyo thread juu. Ila nikuulize ww unaliwa au kula tigo? Cna nia mbaya isitoshe hatufahaamiani humu jf. "
Angeniuliza swali hili kwenye ile thread nisingechukulia kama ni kitu cha kukera au kunidhalilisha, lakini ameniPM, mtu huyu ana nia gani?...nimechukia!