Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,008
- 2,383
Haya mambo ya kupindua meza aliyafanya JESUS sasa umbwa wa luc eymael sijui walidhani NIGERIA kuna wabadili fedha.!? THE RETURN OF CHIMPANZEE
Naomba matokeo ya pale uwanja wa MkapaHaya mambo ya kupindua meza aliyafanya JESUS sasa umbwa luc eymael sijui walidhani NIGERIA kuna wabadili fedha.!? THE RETURN OF CHIMPANZEE
sasa unafanisha friend match na knockout kweli we msukuleNaomba matokeo ya pale uwanja wa Mkapa
Naona unalazimisha furaha utopolo.Kwa Simba ule utaratibu wa kukalia hamsa utakuwa umerudi rasmi. Simba hii haiiwezi hata Lipuli.
Naomba matokeo ya uwanja wa Taifa, unataka kuniambia hiyo champions league mnacheza na timu kutoka Tanzania au mnacheza mbinguni, game ni zilezile na approach ni ile ilesasa unafanisha friend match na knockout kweli we msukule
SIMBA 0 vs tp mazembe 1. Nasikia kuna kahaba baada ya kulawitiwa kwa mkapa alinogewa akaamua akalifuate dushelele nigerNaomba matokeo ya pale uwanja wa Mkapa
Nasikia umepakiwa vumbi la congo na hiyo imepelekea mazembe kuchelewa kupata bao la kwanza, dakika kama ya 80 ndo ana kupiga cha kwanza, ila cha pili sasa kama kawaida ya vumbi letu huwa akipatikani kirahisiSIMBA 0 vs tp mazembe 1. Nasikia kuna kahaba baada ya kulawitiwa kwa mkapa alinogewa akaamua akalifuate dushelele niger
Tutabandika hayo maneno kwenye ile kanga laini ya Mombasa aliyovishwa Mwamedi kipindi kile alichotekwa.au ibadilishwe upesi iandikwe Visit Mafuriko na Vyurani Jangwani?
Kudadadeki..!!!
Sawa mkuu "Kwa Yanga hii hata Bayern wakija wanakaa" alisikika mlevi mmoja akitamba kwenye mediaTuacheni Yanga.
Kwasasa tuna unganisha timu yetu katika mchanganyiko.
Timu inatafuta Chemistry tu.