Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 28,364
- 81,780
Simba 0 Tp Mazembe 1. FTMatokeo!?
Simba 0 Tp Mazembe 1. FTMatokeo!?
tp mazembe washawachomeka hukooo😀😀😀ouuuuuuuuuuut
Yaani unapigwa mpira mwingi na unafungwa bao la kikatiliNakufugwa wamefugwa
Halafu baada ya hapo?tp mazembe washawachomeka hukooo😀😀😀
Kaigandishe na barafu, unachezea vumbi la mkongo?😀😀Halafu baada ya hapo?
UtaliaMwenye matokeo ya Yanga Nigeria atume.
1:0Matokeo!?
Haina shida yoyotetp mazembe washawachomeka hukooo😀😀😀
Una sifa zote za utopolo.Yaani jukwaa limetulia just imagine hawa makolo wangeshinda hili jukwaa lisingetosha
Unapigwa mpira mwingi na unapigwa mpasi mmoja wa hatari na linafungwa goal moja la kikatili sanaUna sifa zote za utopolo.
Endelea kujifariji utopolo.Unapigwa mpira mwingi na unapigwa mpasi mmoja wa hatari na linafungwa goal moja la kikatili sana
Hivi pale uwanjani yule Ndugai Mgalilaya alikuwepo?Endelea kujifariji utopolo.
Hivi pale uwanjani yule Ndugai Mgalilaya alikuwepo?
Karume pale kuna chumba cha makumbushoMtani sasa jezi za Visit Kilimanjaro tunazipeleka wapi?
Kwani msukule mzungu alikuwepo kule nigeria?Hivi pale uwanjani yule Ndugai Mgalilaya alikuwepo?