desayi
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 3,269
- 5,437
Hao utopolo ni team ya vilaza manara kawatukana ila kaenda kula maisha wakati kina nugaz hata mshahara hawanakocha wao analia muunganiko wa team anataka miezi mitatu wako bize kumshangilia manara kwamba atawafikisha nusu fainali ya afrika
Sent using Jamii Forums mobile app