Namsikia dogo Rithiwan ndani ya EA RADIO akihojiwa na zembwela anasema mzee wake amejenga msingi toka wao wakiwa wadogo kila mtu anatimiza wajibu wake ndiyo maana hata kwenye wizara akikosema mtu kwenye nafasi yake asilaumiwe yeye.
da! Kumbe usharobaro ni ugonjwa wa kulithi,yaani baba kwenda kwa mtoto.
Pumbaf kabisa!!
Zembwela anamuhoji zembwela mwenzake!!