Rithiwan ndani ya super mix EA RADIO mahojiano

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,271
9,900
Namsikia dogo Rithiwan ndani ya EA RADIO akihojiwa na zembwela anasema mzee wake amejenga msingi toka wao wakiwa wadogo kila mtu anatimiza wajibu wake ndiyo maana hata kwenye wizara akikosema mtu kwenye nafasi yake asilaumiwe yeye.
 
Anasema Baba yake ni family man hukutana na familia mara kwa mara....Nyimbo anazozipenda sana baba yake MV Mapenzi, Homa Imenizidia za sikinde aka Nginde Ngoma ya Ukae...pia Bongo flava kama Pipii ya Marlow na zakinajuma Nature
 
Namsikia dogo Rithiwan ndani ya EA RADIO akihojiwa na zembwela anasema mzee wake amejenga msingi toka wao wakiwa wadogo kila mtu anatimiza wajibu wake ndiyo maana hata kwenye wizara akikosema mtu kwenye nafasi yake asilaumiwe yeye.

Yaani huyu karithi kila kitu kutoka kwa dingi yake........hata UBONGO!
 
Riwadhini anaimba 'cheichei shangazi' hakuna jipya za mipasho. Eti mama anacha? Baba anatumia kinywaji gani? Vipi uliwahi kuosha vyombo? Ndo maswali anayojibu.
 
Back
Top Bottom