Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 408
- 1,032
Kwanza kabisa ningependa kujua uwepo wenu humu kama mpo au hampo na kama mpo mje mtupe majibu kwanini huduma hii ni mbovu hivi?
Ubunifu huu nauunga mkono wa kuji-hudumia au kuomba vyeti Online ila shida inayowakumba waombaji ni kubwa mno kuliko raha wanayopata baadhi.
Mwaka huu ulivyo anza nilienda kuuliza utaratibu ulivyo wa kuomba vyeti vya kuzaliwa jinsi ulivyo katika Ofisi za RITA MASWA na kupewa maelekezo kama yafuatayo.
Wakasema wao kwa sasa hawa hudumii pale ofisini, wakasema nirudi nitafute Stationary wao wanajua namna ya kutuma maombi online, hawapokei chochote isipokuwa siku naenda kuchukua cheti baada ya kuomba kupitia mtandao niende na fomu ambayo ilitolewa na RITA online.
Nilifanya kama walivyo nielekeza, nimefanya kila kitu na nimetuma maombi hayapungui 6+
mpaka sasa nikiwa na mashaka labda niliyotuma ya kwanza niliikosea ngoja nirudie natuma tena nyingine mpaka zimefika zote hizo katika maombi hayo yote
control namba imekuwa ni kizungumkuti ili nilipie nijue napata cheti au namapungufu lakini hayo yote nimebaki nayo mwenyewe mpaka sasa maana sielewi chochote.
Maombi nimetuma Tarehe 4/2/2022 leo tena nimetuma maombi Tar 7/2/2022 napo bado mambo ni yaleyale kama kuna sehemu nakosea kwanini msipokee hata simu yenu ya huduma kwa wateja 0800117482 ni pambo maana haipokelewi zaidi inafikia hatua ya mtoa huduma kuongea inajikata tutawaelezeaje yanayotukuta huku?
Na simu nazo hampokei mnakata huduma hii imekuwa mbovu matatizo yawatu nimengi kila kukicha mmefanya hivi kupunguzs msongamango wa watu na huduma ndio hii mnayotupa jazi ipo nchi hii. Na ni tatizo sana kwa watu wengi ambao hawana uelewa na hivi vitu vya mtandao.
Mimi ni mmoja wa watanzania ambao nimeteseka kwa muda mchache bila kupata msaada wa haraka, na hicho cheti kina mambo mengi ya kukifanyia.
Ahsanteni kama mnasoma ujumbe huu nafikili tutakuwa tumeelewana nini kinawasibu watu wengi.