Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,490
- 5,525
Habari
Naona nichokoze mada leo kuhusu hasara na gharama ya uchaguzi.
Kabla sijazama katika mada nisisitize kwamba MAISHA NI MACHAGUO.Kwa mafano unapochagua kusoma andiko hili basi kuna andiko lingine(Yako mengi ambayo unegeweza kuyasoma ila umeamu kusoma hili kwa sababu unazojua wewe).Hii katika lugha ya uchumi tunaita Opportunity Cost.
Sasa huu ni ukwelu mchungu."KUNA VITU VINGI VYA MAANA NA VYENYE FAIDA KUBWA AMBAVYO UNGEWEZA KUVIFANYA KWA KUTUMIA MUDA HUU UNAPOSOMA ANDIKO HILI KULIKO UNGESOMA ANDIKO HILI" Hizo ndo tunaita gharama za uchaguzi.
Kila uamuzi unaofanya una gharama na kwa mara zote huwa unakula HASARA yani muda unaotumia au rasilimali unaztumia kufanya jambo fulani zingeweza kutumika mambo mengine mengi ambayo yana faida maradufu kuliko jambo unalofanya.
Kwa ufupi nataka kusema tu kwamba Mara zote kila uamuzi unaofanya unakutia hasara na hautakaa upate faida kwa hivyo basi lazima utafuta namna ya kufurahia matokeo.
Mke uliyemuoa amekuzuia kuoa wanawake wengi bora kuliko yeye ambao wangefaa zaidi kuwa wake zako kuliko yeye "and you will never know that"Kadhalika na mume wako na mtoto wako na rafiki zako etc.
Sasa turudi kwenye hoja ya Msingi,Kama kila jambo ni hasara je tunapataje faida?Faida Pekee uanyoweza kupata katika maamuzi yako unayofanya ni kujifunza(Learning from the experience)Au kujifunza kutokana na makosa.
Usiogope kufanya makosa,ila ogopa KURUDIA MAKOSA
Kurudia makosa kuna gharama maradufu.
Tujifunze na tujadili namna ambavyo tunafanya maamuzi ambayo yanatuwezesha kuishi maisha ya furaha na kuminimize opoprtunity cost huku tuki maximize Utility.
Karibuni