Risk versus Opportunity Cost in Entrepreneurship

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,493
5,528
Habari

Naona nichokoze mada leo kuhusu hasara na gharama ya uchaguzi.

Kabla sijazama katika mada nisisitize kwamba MAISHA NI MACHAGUO.Kwa mafano unapochagua kusoma andiko hili basi kuna andiko lingine(Yako mengi ambayo unegeweza kuyasoma ila umeamu kusoma hili kwa sababu unazojua wewe).Hii katika lugha ya uchumi tunaita Opportunity Cost.

Sasa huu ni ukwelu mchungu."KUNA VITU VINGI VYA MAANA NA VYENYE FAIDA KUBWA AMBAVYO UNGEWEZA KUVIFANYA KWA KUTUMIA MUDA HUU UNAPOSOMA ANDIKO HILI KULIKO UNGESOMA ANDIKO HILI" Hizo ndo tunaita gharama za uchaguzi.

Kila uamuzi unaofanya una gharama na kwa mara zote huwa unakula HASARA yani muda unaotumia au rasilimali unaztumia kufanya jambo fulani zingeweza kutumika mambo mengine mengi ambayo yana faida maradufu kuliko jambo unalofanya.

Kwa ufupi nataka kusema tu kwamba Mara zote kila uamuzi unaofanya unakutia hasara na hautakaa upate faida kwa hivyo basi lazima utafuta namna ya kufurahia matokeo.

Mke uliyemuoa amekuzuia kuoa wanawake wengi bora kuliko yeye ambao wangefaa zaidi kuwa wake zako kuliko yeye "and you will never know that"Kadhalika na mume wako na mtoto wako na rafiki zako etc.

Sasa turudi kwenye hoja ya Msingi,Kama kila jambo ni hasara je tunapataje faida?Faida Pekee uanyoweza kupata katika maamuzi yako unayofanya ni kujifunza(Learning from the experience)Au kujifunza kutokana na makosa.

Usiogope kufanya makosa,ila ogopa KURUDIA MAKOSA

Kurudia makosa kuna gharama maradufu.

Tujifunze na tujadili namna ambavyo tunafanya maamuzi ambayo yanatuwezesha kuishi maisha ya furaha na kuminimize opoprtunity cost huku tuki maximize Utility.

Karibuni
 
Ndo ubovu wa elimu yetu mtu anasoma B.A in economics miaka mitatu anakosa kazi anaanza kujikumbusha alivyo soma hapa Jf,...sehemu hi wengi ni ma graduate wa darasa la saba na form 4. 'Eti opportunity cost' hahaha hupati hata comment 10 jomba, hakiamungu...........kama unataka kupunguza stress zako hapa leta mada zinazoelekea na kula tunda kimasihara nk.....ila hiyo ya opportunity cost you are in the wrong place.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,nafikiri,ukitoka kwenye BOX utaelewa
 
Nimecheka sana, comment yako ina onyesha utopolo uliopo kwenye vichwa vya watanzania tulio wengi. Tunashabikia nyuzi za kulana na kugegedana tu.
Ndo ubovu wa elimu yetu mtu anasoma B.A in economics miaka mitatu anakosa kazi anaanza kujikumbusha alivyo soma hapa Jf,...sehemu hi wengi ni ma graduate wa darasa la saba na form 4. 'Eti opportunity cost' hahaha hupati hata comment 10 jomba, hakiamungu...........kama unataka kupunguza stress zako hapa leta mada zinazoelekea na kula tunda kimasihara nk.....ila hiyo ya opportunity cost you are in the wrong place.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nimefaidika na ulichoandika, na kweli zipo nyuzi nyingi ila kwa nilichokua nakitafuta hapa nimekipata.Naamin wapo wengi watafaidika nabulichoandika.
Ahsante sana, tunahitaji watu kama nyinyi ili Taifa lisonge mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom