Rising Dictactor in Africa: Jakaya Mrisho Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rising Dictactor in Africa: Jakaya Mrisho Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ukombozi Sasa, Jan 11, 2011.

 1. U

  Ukombozi Sasa Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Watanzania imefika wakati kusema sasa inatosha, Kikwete siyo rais wetu, miaka mitano inayokuja ni mateso –mateso-mateso, huyu mtu akubali kashindwa nchi, hakuna analofanya watanzania. Lipi jema kafanya.. Huyu ni dikteta wala hilo halina ubishi wowote. Watanzania tutanyanyaswa na kupigwa, polisi watatuua bila hatia, kama walivyofanya Arusha. Tunahitaji tu neema za mungu..this guy is rising Dictactor in Africa, anajaribu kufuata nyayo za Gabo, Museveni, Mugabe , Bashir.. [/FONT]
  [FONT=&quot]Tunachohitaji ni kudai haki yetu bila woga, tumeliona hilo Arusha, kuwa tukisimama kidete tutashinda ukatili wake. Watanzania tusione haya wala woga kudai haki. Ndiyo watatuua lakini mwisho wa yote tutashinda. Ukatili wa Kikwete lazima upingwe kwa nguvu ya umma. Tusimame kudai haki yetu. Huu ni mwanzo tu wa mapambano lazima huyu Kikwete aondoke na CCM yake 2015. [/FONT]
  [FONT=&quot]Tusihishe Arusha, kwa maana kwa sasa watu wamezidi kuyaona manyanyaso ya CCM, kwa wanaharakati wenzangu huu ni mwanzo wa kudai uhuru kamili. [/FONT]
  [FONT=&quot]Manyanyaso ya Polisi ndiyo yamefika mwisho hawawezi kutupiga mabomu kila wakati..Hakika tutashinda. Shukrani kwa wale wote waliojitoa kudai haki mjini Arusha. Aksanteni.[/FONT]
   
 2. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Tuko pamoja mkuu, siyo dictator tu bali autocratic
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Alikuwa dictator from the word go
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wishful Thinking!
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kwa kuwa hujaonja moshi wa mabomu?
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wa wapi, Arusha?
   
 7. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Wewe vipi? Anajiahidi kufanya anayoweza kufanya vizuri. Kwa mfano tangu achaguliwe amefanya mambo 7 muhimu kwa Taifa letu yafuatayo:
  1. Kuandaa birhday party ya wife kutimiza miaka 47
  2. Kuonyeshwa noti mpya na Gavana
  3. Kutoa mbuzi, mchele na mafuta ya kupikia kwa watoto wasiyojiweza wakati wa Christmas
  4. Kuandaa party ya mwaka mpya kwa mabalozi
  5. Kuhudhuria sherehe ya mke wa Riz1 kuwa advocate
  6. Kuhudhuria birthday party ya Msuya
  7. Kuhudhuria Mazishi ya Bw. Musiba

  Kweli anajitahidi jamani kwa kiasi chake. Tumuunge mkono, maana anaongoza mamlaka iliyowekwa na Mungu (kama walivyowahi kusema Makamba, Mengi na Kilaini).
   
 8. stringerbell

  stringerbell Member

  #8
  Jan 12, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  well.the dictactor we had is dead alraedy probably burn in hell.you should be thankfull to have your freedom of speech thats why no one stop you to write huu utumbo hapa jamii forum.mchonga meno kaongoza nchi miaka chungu nzima hakuna moja alofanya zaidi ya udikteta na kutuweka na njaa nakumba enzi zake kama utaandika negative comment kuhusu serikali basi utaishia jela.
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  he, we jamaa msahaulifu hivyo? Yaani mambo saba tu?.mbona mi naona yapo mengi?
  8.alihudhuria mechi ya taifa staz na moroco
  9,kawaandalia mabalozi pary ya new year
  10,KAENDA KUBEMBEA JAMaika
  11.kaenda kutambika
  12.kaenda marekani kucheki basketball
  13. Kaenda marekani kupiga picha na hasheem
  14,kamualika hasheem ikulu
  15.kapiga picha na toto tundu
  16,mengine mengi tu .
   
 10. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  This guy cannot be a dictator. Dictators (from the word dictate) have their own principles, vision, and straight forward way of governing. I am sure most of us have no idea what this guy can do or his way forward. The only thing I know about him is his big smile and he is the most traveled prez we ever had.

  So please find him another title because I am not sure that he can fill those shoes. He is just ONE BIG .........
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  so let call him vasco da gamaaaa
   
 12. v

  vassil Senior Member

  #12
  Jan 12, 2011
  Joined: Apr 13, 2008
  Messages: 121
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  you have to be a lot smarter to be a dictator
   
 13. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  ukimuita dictator ni sifa kubwa saana yeye ni mswahili asiyejua majukumu yake
   
 14. L

  Leornado JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Umesahau alivoenda kuzindua kaburi la 1st Lady wa Malawi..... hii kali ya mwaka.
   
 15. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  17. Kampokea kijana aliyeendesha baiskeli kutoka Geita mpaka Ikulu kumpongeza kwa ushindi
   
 16. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Ewaaaaaaaaah. Now we are talking.
   
 17. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Na hadi anamaliza mda wake atakuwa amesha vunja rekodi nakwambia,sema tu ana ng'ata na kupuliza
   
Loading...