King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,644
- 68,594
Umofia kwenu wana JF,
Miaka ya 2006/2007 jina la Cynthia Masasi lilipata chati sana kwenye blog za bongo hasa alipoanza kuonekana kwenye video za wanamziki wa mtoni.
Video queen huyo jina lake lilizidi kuwa juu baada ya kuanzisha uhusiano na mtoto wa mjini Richard Mziray walipokutana huko ,Houston Texas.
Majina ya wawili hayo yalikuwa juu sana kwa hapa bongo mwaka 2012 baada ya kurudi mazima na mamilioni ya dolari na mandinga hadi kina Bakhersa na Davis Mosha wanasubiri,kuanzia 2013 mwishoni mpaka 2015 hii siwasikii kabisa,mandinga yenye plate number za Houston--Richard siyaoni Town kabisa,hawa jamaa wamebugi wapi mpaka wakadondokea pua?
Nini hasa chanzo cha kufulia kwa hawa wadau?