Rise and Fall of Cynthia & Richard Mziray

Status
Not open for further replies.

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,592
68,471
Umofia kwenu wana JF,
Miaka ya 2006/2007 jina la Cynthia Masasi lilipata chati sana kwenye blog za bongo hasa alipoanza kuonekana kwenye video za wanamziki wa mtoni.

Video queen huyo jina lake lilizidi kuwa juu baada ya kuanzisha uhusiano na mtoto wa mjini Richard Mziray walipokutana huko ,Houston Texas.

Majina ya wawili hayo yalikuwa juu sana kwa hapa bongo mwaka 2012 baada ya kurudi mazima na mamilioni ya dolari na mandinga hadi kina Bakhersa na Davis Mosha wanasubiri,kuanzia 2013 mwishoni mpaka 2015 hii siwasikii kabisa,mandinga yenye plate number za Houston--Richard siyaoni Town kabisa,hawa jamaa wamebugi wapi mpaka wakadondokea pua?

Nini hasa chanzo cha kufulia kwa hawa wadau?
 
Bongo vizinga vingi....unakuta watu zaidi ya mia wanamtegemea mtu mmoja..ukipenda sifa chaliii...
 
Kuspend sana walikuwa wakienda sehemu lazima watu wajue wapo pale

Walikuja na mabillions ya shilling,mbona wamespend mda mchache sana? Walikuja na magari ya maana kama 6 hivi,vogue mbili,benz mbili,na migari ya kimarekani kama miwili hivi la silver na jeupe,hata kama wameuza wangeendelea kutesa hata kwa miaka mitano hivi,mbona wamefilisika ghafla tu,yaani ndani ya mwaka m1 tu chali?
 
cynthia+1.jpg


ndiyo huyu alikuwa mkali si kawaida
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom