Elections 2010 Rise and fall of CUF

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Civic United Front:

Established : 1992
Founder : James Mapalala, Hamad Mlo
Rised : 2000 Under the leadership of Professor Ibrahim Lipumba/ Seif S. Hamad
Fall : 2010 Under the leadership of Professor Ibrahim Lipumba/ Seif S. Hamad
 
Nafikiri CUF wataanguka kwa kujihusisha na CCM hii itakifanya chama cha CHADEMA kuwa ndo chama pekee kikuu cha upinzani huku CUF ni vibaraka wa CCM mfano wa Chifu Magustu Bhutelezi wa Afrika ya Kusini na chama chake cha Inkhata Freedom Party alivyokuwa akitumiwa na Makaburu
 
Umenkumbusha huyu jamaa alivyokuwa anatumiwa na makaburu kuanzisha vurugu sijui siku hizi chama chake kimefikia wapi.
 
Umenkumbusha huyu jamaa alivyokuwa anatumiwa na makaburu kuanzisha vurugu sijui siku hizi chama chake kimefikia wapi.

Kiliungana chama cha Alliance cha Hellen Zille, ikazikwa rasmi 2008.
 
CUF wameshafunga ndoa na CCM, na ndoa hiyo imesha jibu mtoto anaitwa 'CUF,TLP,UDP,NCCR V/S CHADEMA.'
 
CUF will not fall, ever.
Kwani nyinyi si mna chadema yeno sasa CUF ya nini tena.
Ila nijuacho ni kuwa chadema iko katika danger zone zaidi kuliko chama kingine chochote hapa TZ.
mfano mzur tu
CUF ilikuwa na wabunge wanaotosha kuunda serikali ya upinzani bungeni na chadema ilikuwa na wabunge 11 tu waliwashirisha na slaa alikuwa naibu kiongozi kambi ya upinzani lakini sasa CUF wabunge 34 na chadema 45 eti hawataki muungano. Whats hell is this.
Halfu eti wanashangaa mabere kapata kura 53 tofauti na idadi ya wapinzani ambao wako 85. miaka 5 si michache, we shall see
 
CUF wamefunga ndoa na CCM. Chadema wanapingana na CCM. Huo muungano wa CUF na Chadema automatically haupo. Kama ukiwepo, basi neno lako la miaka 5 si michache litakuwa na maana, vinginevyo mi naona unabwabwaja tu. huna hoja.

Day Dreaming.

Wasomi(Chadema) hawadanganyiki.
 
Nadhani mzee wetu Maalimu alipiga hesabu akaona kuwa 2015 ni mbali, duh...., palepale akaona let's join them, hapo ndipo Cuf wamepoteza uhalali wa upinzani kwa sababu ya watu wachache, tazama naona cuf haikupiga hesabu (projection) 2025 wameliwa na Ccm, kwa huku bara Cuf wataenelea kutumia nguzo ya udini bila sera na kuwanasa wachache wasiokuwa na elimu na maskini. Na kwa kuwa Ccm ni chatu limazalo tusubiri wakati utauuambia. CHADEMA KAZENI MWENDO MLIKOMBOE TAIFA
 
Back
Top Bottom