Risasi zatembea, pesa zabebwa!

Polisi itoe ofa ya kusafirisha fedha kwa wanaohitaji kama kuelekea benki ama kupelekwa kwenye kampuni. Just Kampuni ipige simu kwenye idara maalum na kulipa kiasi fulani ili usalama wa fedha na wasindikizaji uwe salama.

Wewe ushaambiwa majambazi wanakula deal na makamanda wa polisi halafu unawaamini polisi tena?
 
Wewe Hishangai Wale Majambazi Wa Ubungo Sio Wale Waliopelekwa Mahakamani Juzi Walikuwa Wanaficha Sura Zao Na Magazeti ? Wale Waliokamatwa Wako Wapi Ile Ni Kesi Kubwa Imeshazimwa Hivi Hivi Hata Waandishi Hawaulizi Tena Saa Hizi Kila Mtu Amesharidhika
 
...kwani bado watu wanasafiri na mabulungutu ya pesa tuu? inabidi waanze kutumia zile security service za kusafirisha pesa na kama alikuwa anaenda kulipa au kununua kitu ni bora kuanza na direct deposit au checks,haya mambo ya cash yataua wengi bila sababu ukizingatia watu wana njaa sana!
 
Wewe Hishangai Wale Majambazi Wa Ubungo Sio Wale Waliopelekwa Mahakamani Juzi Walikuwa Wanaficha Sura Zao Na Magazeti ? Wale Waliokamatwa Wako Wapi Ile Ni Kesi Kubwa Imeshazimwa Hivi Hivi Hata Waandishi Hawaulizi Tena Saa Hizi Kila Mtu Amesharidhika

..una uhakika imezimwa? na nani?
 
Polisi itoe ofa ya kusafirisha fedha kwa wanaohitaji kama kuelekea benki ama kupelekwa kwenye kampuni. Just Kampuni ipige simu kwenye idara maalum na kulipa kiasi fulani ili usalama wa fedha na wasindikizaji uwe salama.

Utakuwa unatafuta kifo kwani kwa kuwaambia polisi mapema kwamba unaomba ulinzi kuna pesa unataka kusafirisha toka sehemu A kwenda sehemu B, Polisi hao hao ndiyo majambazi ama wanapanga mbinu na majambazi kwa kutoa siri hiyo. Hivyo bora kufanya kimya kimya kama wahindi wanavyofanya.
 
..suluhisho ni kutumia plastic money [debit/credit cards]kadri iwezekanavyo.
 
YES,

Kuna polisi wamefika dakika kama 13 baada ya tukio toka kituo cha Airport. Ni eneo ambapo nilikuwa nimesimama nikijaribu kutafakari jambo, lakini baada ya hapo hata jambo lenyewe nikalisahau.

Mara ya kwanza naona jambo kama hili. Inatisha, mpaka naziogopa hela

Pole sana
Usiogope hela, bali ogopa mfumo wa maisha; hela ndizo kipimo cha maisha siku hizi kwa hiyo ukiziogopa utakuwa unaogopa maisha yako mwenyewe. Raia wengi wa nchi za magharaibi wana hela nyingi sana kuliko sisi lakini hawaishi maisha ya wasiwasi kiasi hiki. Dawa ipo kwenye mfumo wa maisha kwa vile ujambazi unashamiri katika mfumo wa maisha unaouruhusu ujambazi ushamiri.
 
..hata kama wana hela nyingi hawazibebi kwenye viroba but in their plastic cards.
 
Nilitaka kuchukua picha muda si mrefu hapo afande mmoja akaniomba nisifanye hivyo kama sina kitambulisho kama mwandishi wa habari.

Kimeo...

...........hawa mapolisi wetu nao!!................halafu wanataka msaada wa wananchi.........labda wataalamu mnieleimishe ....................kuna tatizo gani mtu kuchukua picha za tukio.....na hata baada ya tukio?
 
YES,

Kuna polisi wamefika dakika kama 13 baada ya tukio toka kituo cha Airport. Ni eneo ambapo nilikuwa nimesimama nikijaribu kutafakari jambo, lakini baada ya hapo hata jambo lenyewe nikalisahau.

Mara ya kwanza naona jambo kama hili. Inatisha, mpaka naziogopa hela

we kitoto cha fisadi uogope hela?? acha kutupeleka alijojo.. mi nashauri kazi ya police waifanye iwe na kipato kizuri ili kuvutia watu kujiunga na jeshi la police. pili hawa majambazi waende maeneo ya masaki na obay mafisadi wanazo nyingi siyo kuja kutuibia sisi wahangaikaji wenzao.Ama
 
Wewe Hishangai Wale Majambazi Wa Ubungo Sio Wale Waliopelekwa Mahakamani Juzi Walikuwa Wanaficha Sura Zao Na Magazeti ? Wale Waliokamatwa Wako Wapi Ile Ni Kesi Kubwa Imeshazimwa Hivi Hivi Hata Waandishi Hawaulizi Tena Saa Hizi Kila Mtu Amesharidhika

Mkuu, heshima yako. Naona kama unachanganya mambo. Ukumbuke kuwa kuna kesi mbili zinazohusu wizi wa Pesa Ubungo. Moja, jamaa waliingia ndani ya benki iliyopo pale nje ya Ubugo Bus Stand, sijui ni NMB amaNBC, na kuondoka na chao, halafu ya pili ni ile iliyotokea hatua chache mbele ya benki hiyo pale kwenye Mataa jamaa walipotaimu gari lililokuwa likipeleka pesa Morogoro. na zote hizi nakumbuka zinatajwa kwa nyakati tofauti. We unazungumzia ipi??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom