Risasi zarindima arusha

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Mhudumu wa Bar, Witness Erasto ajeruhiwa kwa risasi kichwani na mfanyabiashara, adai aliongezewa bili ya vinywaji, polisi wanachunguza.
 
Alikuwa na hamu ya kutumia gun not otherwise, bar meid!? Kisa kazidisha hapo buku kwenye bill
 
Duh...Arusha sasa noma...
Haya yametokea Bar gani?
Hali ya Witnes ikoje?
Huyo mfanyabiashara amekamatwa?


huyo atakuwa mfanya biashara za mirungi ama bangi,..mfanaya biashara hawezi kutoa bastola kwa kuzidishiwa bili buku or so.
 
Mhudumu wa Bar, Witness Erasto ajeruhiwa kwa risasi kichwani na mfanyabiashara, adai aliongezewa bili ya vinywaji, polisi wanachunguza.

Polisi wanachunguza nini? "Ameongezewa bili akachapa mtu risasi". Its simple and clear!
 
all ina all watu wa arusha wengi wana mambo ya kishamba na ubabe wa kizamani lakin on the other hand nimefurahi bar maid kupigwa risasi walikua wamezid kutuongezea bili kizembe
 
Mleta uzi naona kaweka hapa na kaishia zake.
Kibo10 hebu rudi hapa na ufunguke vema hali ilivyokuwa na usiwe na haraka please!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom