Risala ya marehemu ccm itakayosomwa 2015 kipi kiongezwe?

abunerimgaya

Member
Nov 13, 2012
78
15
Risala fupi ya marehem CCM:
inaletwa kwenu na mimi Abuneri Mgaya

Marehem CCM alizaliwa 05/02/1977.
Enzi za uhai wake marehem alijishughulisha na kuua mazao ya biashara km pamba,tumbaku,kahawa,korosho na katan.
Marehem pia atakumbukwa kwa kaz kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kuua viwanda km Mwatex,Mutex,Kiltex,Ufi,Bora Tanelec, Mgololo,Tanganyika packers,viwanda vya maziwa.
Pia aliwaleta na kuwapa wagen mali za waTZ.
Ameacha wachina kariakoo,waarabu loliondo,makaburu mererani na wazungu wa kila aina kwenye migodi yote ya madini na gesi.
Marehemu ameacha mke m1 aitwaye (CUF) na watoto wawili.UDP na TLP.Shetani amuweke pabaya moton milele Aamen.
 
Mnakufuru c kosa lenu ni hao waliowapa viroba na ganja kuwafanya mfikirie hvy zikiisha kichwani mtajutajee
 
Mkuu lakini ukiacha vichache vilivyorithiwa tangu enzi za ukoloni, ni yeye pia aliyevianzisha hivyo vilivyokufa. Yaani alianzisha na kuuwa mwenyewe sijui hapo inakuwaje. Hebu update risala yako ku-incorporate mambo hayo.
 
Marehemu aliambukizwa maradhi haya ya kisasa kwa kuwaonga wanawake kanga, tisheti na hata pesa kadiri ya shilingi elfu kumi kila mwanamke aliyempenda
 
Mnakufuru c kosa lenu ni hao waliowapa viroba na ganja kuwafanya mfikirie hvy zikiisha kichwani mtajutajee

marehemu aliiba pesa katika akaunti ya madeni ya nje maarufu kama EPA kwa ajili ya kampeni 2005, halafu akamuambia gavana aende marekani akafe kiaina lakini ajitahidi maiti yake wala msiba visipigwe picha afu yeye atakuwa anakuja tz kiaina.halafu Mwizi akawaambia wezi wenzie warudishe pesa awasamehe.
 
Risala fupi ya marehem CCM:
inaletwa kwenu na mimi Abuneri Mgaya

Marehem CCM alizaliwa 05/02/1977.
Enzi za uhai wake marehem alijishughulisha na kuua mazao ya biashara km pamba,tumbaku,kahawa,korosho na katan.
Marehem pia atakumbukwa kwa kaz kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kuua viwanda km Mwatex,Mutex,Kiltex,Ufi,Bora Tanelec, Mgololo,Tanganyika packers,viwanda vya maziwa.
Pia aliwaleta na kuwapa wagen mali za waTZ.
Ameacha wachina kariakoo,waarabu loliondo,makaburu mererani na wazungu wa kila aina kwenye migodi yote ya madini na gesi.
Marehemu ameacha mke m1 aitwaye (CUF) na watoto wawili.UDP na TLP.Shetani amuweke pabaya moton milele Aamen.
mhhhhhhhhhhhhhhh hii risala sasa
 
Marehem alikula dili na babu wa loliondo ili kuwaibia wa tz na umaskini wao.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom