Ripoti zinasema wagonjwa wengi wa akili wanapatikana Uru mkoani Kilimanjaro

Ripoti zinasema wagonjwa wengi wa akili wanapatikana maeneo ya Uru mjini Moshi mkoa wa Kilimanjaro, kwa mujibu wa daktari wa magonjwa ya akili wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro, Engelbertus Mafikiri kwa mwaka 2018 wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo ni 904.

Dk. Mafikiri anasema kati ya wagonjwa hao, wanawake walikuwa 388 na wanaume walikuwa 516 huku waliotokea Uru walikuwa wagonjwa 89. View attachment 1037495

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ,huoni wanavyotoa matusi ya nguoni kuhusu mkuu wa nchi?,na huu uzi lazima ukose wachangiaji,wanapitia pembeni kama hawauoni,umewazaba!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona ni kwasababu hospitali hiyo iko katika tarafa ya Uru hivyo ni karibu zaidi kwa wagonjwa kuliko sehemu nyingine. Ikumbukwe kuwa mji wa Moshi upo katika tarafa ya Uru. Kama KCMC ingekuwa ingekuwa Chato wagonjwa wengi wangetokea huko na sio Uru.
kwa taarifa yako tu vichaa wote waliopo Moshi Mjini 80% ni kutoka Uru.
 
Sijui kuna nini
IMG-20190304-WA0022~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iv uru Ipo mjini moshi au moshi vijijini?

Au mm ndio nimeshindwa kuuelewa mkoa wangu

Young kilimanjaro
 
we maskini wa mali na akili ndio maana huwezi changia chochote zaidi ya kuangalia nani kaandika nini ili umjibu. lete sababu za kwenu kuwa na vichaa wengi kuliko popote tz
Kwahiyo wagonjwa wa akili 89 ndio nchi nzma ?
Je umefanya utafiti mikoa yote? Akili mfu
Hiyo ripoti haijasema kuwa hão wagonjwa wa akili ndio wengi kuliko mkoa wowote
Hakuna mkoa usio na wagonjwa hão ndio maana hospitali yao ipo dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu Ni vichwa maji,hiyo ripoti haisemi kuwa hao wagonjwa ndio wanaongoza kitaifa kuwa wengi ktk mkoa huu
Hakuna mkoa au wilaya tz utakosa wagonjwa wa akili
Hata ukienda mirembe wapo tele sasa mizwazwa inafanya upotoshaji kisa Kilimanjaro imepiga hatua za kimaendeleo kuliko mkoa wowote tz
Thanks God kuibariki Kilimanjaro Hadi watu wanatokwa povu
Kilimanjaro ndio ulaya ya tz
Hakuna mkoa wowote utakuta mahekalu kama haya vijijin tena vichochoroni kwa Hali hii lazma povu liwatoke maskini
tapatalk_1549719495313.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom