Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020

Tumechezewa sana wakati wa Magufuli.Wakati wa Magufuli CAG alikuwa anawekwa mfukoni na Rais.Ripoti ilikuwa ni safi kwenye kila idara hadi ATCL walitengeneza mabillion ya faida hadi wakatoa gawio serikalini.
 
aseme mara ngapi? riport ipo tayari itafute usome
kazi kwa watawala kuifanyia kazi
 
RIPOTI YA SIEIJI;

Serikali ilipanga kukusanya Trillioni 33.105 lakini ilikusanya Trillioni 31.519 sawa na 95% - CAG

kama ufaulu huu ni A plus.

Haijawahi kutokea Serikali kukusanya 95% ya matarajio ya kibajeti.

Kumchafua kote Hayati Rais Magufuli kumbe sababu kapata A.

Dunia ina mambo sana.

Pumzika kwa amani Rais Magufuli.
Mtanyooka mataga na CHAWA
 
Manunuzi ya ndege
Manunuzi ya vivuko
Mikataba ya ujenzi Chato
Mkataba wa ujenzi wa SGR
MKATABA wa ujenzi wa bwawa la kufulia umeme Rufiji.
Manunuzi ya vifaa ya kupigia kura 2019 na 2020.
N.k n.k
Wanachi tunataka kujua uaminifu wa Magufuli.
 
Back
Top Bottom