Elections 2010 Ripoti Ya Waangalizi wa EU!

DALA

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,210
4,512
Kama tunavyojua kuna waangalizi kutoka nchi mbali mbali nchini waliokuwa wanafuatilia uchaguzi wetu uliowanyika juzi 31 oktoba. Kundi la waangalizi kutoka umoja wa ulaya wametoa ripoti yao hivi leo mda si mrefu uliopita! Soma kwa kina!
 
Nilokosea samahanini waungwana ni mambo ya teknolojia! Ripoti hii hapa!
 
Uchaguzi Tanzania haukuwa na "dosari"

Wachunguzi wa uchaguzi nchini Tanzania wamesema hakuna taarifa yoyote kuu ya dosari iliyojitokeza inayoweza kuathiri matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya Jumapili.
101101151840_tanzania_election_386x217_nocredit.jpg
i

Kiongozi wa jopo la wachunguzi kutoka Jumuiya ya Madola Bw Paul East, amesema uchaguzi huo uliendeshwa vyema ikilinganishwa na ya miaka mitano iliyopita.
Hata hivyo East amesema kuchapishwa kwa matokeo ya uchaguzi huo kumecheleweshwa sana.
Amesema kutokana na kuwepo teknolojia ya kisasa, haipaswi matokeo hayo ya uchaguzi kuchukua siku nne hata tano kuweza kujulikana.
Wakati huo huo Mawaziri kadhaa tayari wamepoteza viti vyao vya ubunge katika uchaguzi huo
 
Kuna akili nyingine inaniambia kwamba waangalizi hawa wa kimataifa hawana tija kwenye hizi chaguzi zetu maana tangu waanze kuja hakuna kinachobadilika wala kuongezeka zaidi ya kushabikia dhuluma dhidi ya wengi.
hii jumuiya ya kimataifa ndiyo inayofaidika na mikataba mibovu wanayoingia viongozi wetu kwa kununuliwa kwa vipande vya pesa. Mimi nasema kwamba ripoti yao ni another evidence ya jumuiya ya kimataifa kufukarisha maendeleo ya nchi maskini za afrika.
next time tuwakatae tuweke waangalizi wetu wenyewe.

hii itawezekana endapo tutaibadili serikali DHALIMU hii iliyopo.
 
Mi nafikiri hawa waangalizi waache uongo, mbona ndo kwanza leo siku ya pili tu tangu kumalizika upigwaji kura????

Isitoshe hiyo technolojia inayosemwa hapo ni kwa mijini tu, unafikiri kwa vituo vilivyopo vijijini ndani huko hiyo inatumika??? Hapo ni lazima waende maeneo yenye umeme halafu wayatume hayo matokeo.

Mi nadhani matokeo yanaendelea kutolewa vizuri tu na tume hata haina matatizo kwani hata yanapofika huko Tume ni lazima yahakikiwe ndipo yatangazwe.

Visingizio hakuna hapo. semeni kingine
 
Uchaguzi Tanzania haukuwa na "dosari"

Wachunguzi wa uchaguzi nchini Tanzania wamesema hakuna taarifa yoyote kuu ya dosari iliyojitokeza inayoweza kuathiri matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya Jumapili.
101101151840_tanzania_election_386x217_nocredit.jpg
i

Kiongozi wa jopo la wachunguzi kutoka Jumuiya ya Madola Bw Paul East, amesema uchaguzi huo uliendeshwa vyema ikilinganishwa na ya miaka mitano iliyopita.
Hata hivyo East amesema kuchapishwa kwa matokeo ya uchaguzi huo kumecheleweshwa sana.
Amesema kutokana na kuwepo teknolojia ya kisasa, haipaswi matokeo hayo ya uchaguzi kuchukua siku nne hata tano kuweza kujulikana.
Wakati huo huo Mawaziri kadhaa tayari wamepoteza viti vyao vya ubunge katika uchaguzi huo

Hii mambo ya kuingiza technology ni kutaka kukosana na CCM.
 
2 Novemba, 2010 - Imetolewa 07:37 GMT

Uchaguzi Tanzania haukuwa na "dosari"

Wachunguzi wa uchaguzi nchini Tanzania wamesema hakuna taarifa yoyote kuu ya dosari iliyojitokeza inayoweza kuathiri matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya Jumapili.
101101151840_tanzania_election_386x217_nocredit.jpg
Uchaguzi Tanzania haukuwa na dosari

Kiongozi wa jopo la wachunguzi kutoka Jumuiya ya Madola Bw Paul East, amesema uchaguzi huo uliendeshwa vyema ikilinganishwa na ya miaka mitano iliyopita.
Hata hivyo East amesema kuchapishwa kwa matokeo ya uchaguzi huo kumecheleweshwa sana.
Amesema kutokana na kuwepo teknolojia ya kisasa, haipaswi matokeo hayo ya uchaguzi kuchukua siku nne hata tano kuweza kujulikana.
Wakati huo huo Mawaziri kadhaa tayari wamepoteza viti vyao vya ubunge katika uchaguzi huo.

Source:BBC Swahili - Habari - Uchaguzi Tanzania haukuwa na "dosari"
 
Kuna akili nyingine inaniambia kwamba waangalizi hawa wa kimataifa hawana tija kwenye hizi chaguzi zetu maana tangu waanze kuja hakuna kinachobadilika wala kuongezeka zaidi ya kushabikia dhuluma dhidi ya wengi.
hii jumuiya ya kimataifa ndiyo inayofaidika na mikataba mibovu wanayoingia viongozi wetu kwa kununuliwa kwa vipande vya pesa. Mimi nasema kwamba ripoti yao ni another evidence ya jumuiya ya kimataifa kufukarisha maendeleo ya nchi maskini za afrika.
next time tuwakatae tuweke waangalizi wetu wenyewe.

hii itawezekana endapo tutaibadili serikali DHALIMU hii iliyopo.

Ni kweli mku wanakula perdiem tu na hawana cha maana. Wengine ndo nafasi yao kuja kutalii tu huku wengine wakifanya U-CIA
 
hao wana mikataba yao mibovu, wengine nchi zao hazina hata viwanda vya kuendesha nchi, wanachotegemea ni mali za tanzania, we unafikiri watasema nini zaidi ya kusifia tu, we kweli mareakani anaitaka Uranium kwa bei ya kuokota atakubali vipi Slaa aingie madarakani?
 
nenda

h[video]http://www.bbc.co.uk/swahili/includes/1024/screen/audio_console.shtml[/video]
 
EU Report and Lead Observer speech!
 
Attachments

  • PRESSEUEOMCOSpeech_2NOV_English.pdf
    78 KB · Views: 42
  • PreliminaryStatementFInal.pdf
    499.1 KB · Views: 28
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom