Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,138
- 56,596
Hapana aisee inakosa maana. Walishindwa kutafuta maneno ya page moja ambayo yangetosha kubeba report nzima? Nimejaribu kusoma leo yaani hii report ipo kucrash zile report zilizopita. Yaani waandishi walienda na majibu yao tayari. Yaani haina hypothesis. Naona Objectives zilikuwa kwenda against na report ya WWF na UNESCO.Ni political abstact lazima iwe ndefu
P.