Polymerase
Member
- Jun 19, 2019
- 12
- 8
Magufuli teua watu wengine waandike a professional report ila hawa peleka butimba miezi sita. Wanatudhalilisha sana, this is a froffesional insult of high degree.
Unamaanisha ni wa jalalani?What do you expect when “wataalamu” were picked from garbage dumping area!?
Mzee mwenzangu M.M
ukiongea hivyo kiujumla jumla haina maana na inaondoa credibility yako ninayoijua.Leta facts.
Mbona naona mapichapicha tuView attachment 1161814
SALEH PAMBA
View attachment 1161815
ABUBAKARI RAJABU
View attachment 1161816
ABDULKARIM SHAH
View attachment 1161823
thomas kashililah
View attachment 1161825
Magnus Ngoile
View attachment 1161814
SALEH PAMBA
View attachment 1161815
ABUBAKARI RAJABU
View attachment 1161816
ABDULKARIM SHAH
View attachment 1161823
thomas kashililah
View attachment 1161825
Magnus Ngoile
kumbe ishawahi kukukuta hii hhh .NI ya wataalamu kama ile ya Makinikia iliyoonesha, endapo Acacia wasingetuibia madini yetu, Tanzania ingekuwa ndie top gold producer duniani, na kuhitimisha tunawadai USD 190 Billion wakati Market Capitalization ya kampuni husika haifiki hata USD 5 Billion!!!
Serious note: Hivi kuna mtu anaweza kunifanyia mpango wa passport ya Kenya, manake hivi sasa najisikia aibu mimi kuingia nchi za watu na Passport za Tanzania! Haki ya Mungu hii sitanii! Kuna siku nimeshuka airport ya nchi fulani, lakini ghafla watu wakaanza kunitazama mara baada ya kutoka kwenye cube ya passport control. Yaani nahisi kama yule afisa aliwakonyeza watu kuwaambia "...mnamuona yule, jamaa ni Mtanzania, ile nchi inayoidai kampuni ya madini USD 190 Billion wakati mapato ya nchi yake kwa mwaka hayafiki hata USD 15 Billion"!
No wonder Jiwe hataki kwenda ughaibuni!
Tunaposema elimu yetu imedidimia kiasi cha kutisha hatueleweki.
Mkuu Kalamu, Tanzania ya sasa
hatuhitaji references za wataalamu wazungu katika ripoti zetu za kitaalamu, ripoti zetu sasa zinazingatia uzalendo, maadamu tumeamua kujenga mradi wa HEP wa Stigler, then ripoti zetu zitareflect our political wishes, nakumbuka kwenye hili tulikutana hapa na wote sisi mimi name wewe tulichangia page ya kwanza, ulianza wewe kuchangia post No. 5, nikaja mimi post No.8
Ukweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge
Ni hivi watu wengi wanaandika bila kuujua ukweli. Ukweli ni kwamba kabla ya mradi wowote mkubwa kutekelezwa lazima kifanyike kitu kinachoitwa Environment Impact Assessment. Ukweli ni kwamba serikali iliunda team iliyojumuisha maprofesa nguli kufanya Environment Impact Assessment ambapo...www.jamiiforums.com
Uzalendo wa kweli wa nchi yako ni pamoja na kusupport mipango kamambe
ya maendeleo ya nchi yako hata kama mipango hiyo itasababisha maumivu kwa walio wengi as long as itakuwa na faida kubwa kitaifa huko baadae.
P
Unajua lissu anaziitaje report kama hizo?Kwa sababu... ripoti ya kitalaamu inaanza kitaalamu...
Unajua hapa umenifikirisha kidogo; sasa kama wanafunzi wanaofyatuliwa toka kwenye hivi vyuo wanakuwa hivi inakuwaje walimu wao? Na huko kote walikopitia kusoma ina maana hawakujifunza hata kidogo kuandika makaratasi ya kiakademia? Au hata kusoma majarida ya wenzao waone wanavyoandika?