nyabhera
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 660
- 729
Katika vita hizo ni factor ndogo Sana ushahidi.Ya Rwanda imepiga picha maeneo ya jeshi la Burundi.
Hayo mapinduzi ya Burundi achana nayo,ila jua hakuna jeshi pale Burundi ila kuna kundi la wahuni tu.
Nakupa mfano rahisi FDI Ya Burundi last year ni $300,000 only na ukuaji wake wa uchumi kwa mwaka ni 0.0% wkt Rwanda FDI yake last year ni almost 400mil na uchumi unakua kwa 7.2%,nipe data zako kuonyesha wote wapo hoi.
Ethiopia vs Eritria.
USA vs Vietnam.
China Vs Vietnam.
Israel vs Arabs
Afghanistan vs Soviet.
Vita is about strategy. Not equipment, number of troops or resources
Sent using Jamii Forums mobile app