Ripoti ya Umoja wa Mataifa: Burundi inawasaidia waasi wa NRC kuiangusha serikali ya Kagame

Ya Rwanda imepiga picha maeneo ya jeshi la Burundi.

Hayo mapinduzi ya Burundi achana nayo,ila jua hakuna jeshi pale Burundi ila kuna kundi la wahuni tu.

Nakupa mfano rahisi FDI Ya Burundi last year ni $300,000 only na ukuaji wake wa uchumi kwa mwaka ni 0.0% wkt Rwanda FDI yake last year ni almost 400mil na uchumi unakua kwa 7.2%,nipe data zako kuonyesha wote wapo hoi.
Katika vita hizo ni factor ndogo Sana ushahidi.

Ethiopia vs Eritria.
USA vs Vietnam.
China Vs Vietnam.
Israel vs Arabs
Afghanistan vs Soviet.

Vita is about strategy. Not equipment, number of troops or resources

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact. Rwanda na Burundi hazitabigana vita it is historical.

Wote wanaogopa vita can turn into ethnic.

Rwanda waogopa zaidi maana Kigili iko in short range from border.

Na wale makamanda wa Burundi walivyo wehu akina sijui Nyamwitwe. Haki Kigari itakua majivu haha. Two hours no stone unturned.

Hapo first week ya war zitaunguruma Rocket/mabomu tu kuharibu installation za kijeshi, miundombinu na NK na hapo ndipo Rwanda anaogopa zaidi.

Baada ya week ya kwanza ndo vita itaanza silaha ya kwanza walionayo Burundi in HUTU POWER.

Silaha ya pili akina Kayumba. They know A to Z ya Rwanda.

Anyway. Hii vita haitakuja kutokea. Rw na Bur ni maadui for life chuki zao ni ukabila tu

Kuna Watu wanafikiri vita ni kitu rahisi.
Kwamba unaipiga Burundi kirahisi tu hahaaa!! Tena kwa ethnicity ilivyokaa huko unaweza uka-trigger matatizo makubwa sana. Kama Rwanda kwake ni rahisi sana kuipiga Brundi pengine angefanya hivyo na kuinyamazisha kabisa kama ambavyo alikuwa akiingia Congo bila hodi ili kuwasaka waasi!!

Mwisho hakuna vita itakayokuwa mbaya na ngumu kama ya Rwanda vs Burundi. Pamoja na umasikini wake Burundi ni Nchi, ukishakuwa Nchi hakuna vita utakayosema unashinda kirahisi labda kama unazungumzia Somalia na Marekani (hata hivyo inajulikana namna 1992/1993 Marekani ilichokipata Somalia)!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JK ndo kiboko ya PK maana hana palara na anaongea kama masihara ila hatua zake zilileta impact kubwa sana kwa PK.
Rejea opereshen wahammiajia haramu ilikua ni mziki mkubwa sana kwa PK. Ile operation ilimualert kua JK anajua udhaifu wake na hataniwi!!
PK akaaza kuhaha mapema kabisa
 
Katika vita hizo ni factor ndogo Sana ushahidi.

Ethiopia vs Eritria.
USA vs Vietnam.
China Vs Vietnam.
Israel vs Arabs
Afghanistan vs Soviet.

Vita is about strategy. Not equipment, number of troops or resources

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nilikua naongelea mambo ya kiuchumi nasio vita.

Burundi chini ya Nkurunziza imeshawahi kushinda vita gani/kupigana na nani?
 
Hii ripoti ya kupika hao waasi wanaokua recruitedi mpaka ASIA inaleta wasiwasi ina maana wanaenda kupigana na Rwanda au USA?
Hahah na mimi nimeshangaa sana,ina maana Rwanda ina nguvu kiasi gani mpk waletwe wafilipino,wapakstan,watu from Central Africa,Burundi,Congo,etc.

Labda wanaenda kupigana na USA aisee,hahah.
 
Fact. Rwanda na Burundi hazitabigana vita it is historical.

Wote wanaogopa vita can turn into ethnic.

Rwanda waogopa zaidi maana Kigili iko in short range from border.

Na wale makamanda wa Burundi walivyo wehu akina sijui Nyamwitwe. Haki Kigari itakua majivu haha. Two hours no stone unturned.

Hapo first week ya war zitaunguruma Rocket/mabomu tu kuharibu installation za kijeshi, miundombinu na NK na hapo ndipo Rwanda anaogopa zaidi.

Baada ya week ya kwanza ndo vita itaanza silaha ya kwanza walionayo Burundi in HUTU POWER.

Silaha ya pili akina Kayumba. They know A to Z ya Rwanda.

Anyway. Hii vita haitakuja kutokea. Rw na Bur ni maadui for life chuki zao ni ukabila tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Blaza shida ya discussion na wewe hua unakula kona fasta tu bila kujibu hoja ulizoanzisha.

Hao makamanda wehu unaowasifia walikua wapi wkt nkuru anapinduliwa mpk Tz ikamsaidia Nkuru kurudi madarakani?Nkuru sasa amekua kama kuku wa kizungu anashinda Bandani tu amegoma kutoka nje kabisaa.

Nikisema kwa mfano James Kabarebe sifa zake za kijeshi zinajulikana kutokana na vita alivyopigana,tuwekee hapa sifa za huyo kamanda Nyamwite vita alivyowahi kupigana na ali-achieve nini?

Kama Kayumba ni Asset kwa Burundi unasemaje khs General Niyombare aliyeongoza Mapinduzi yaliyofeli hapo Burundi ambae alikua(Former Chief of staff of the army na pia former head of intelligence wa Burundi ambae kwa sasa anaishi zake Kigali na ameunda Jeshi lake la waasi la FOREBU.

Kama Nyamwasa ni asset kwa Burundi,vipi kuhusu Wakina Former President Buyoya wanayoijua Burundi nje ndani na Top Generals wake ambao kila siku trip za Kigali haziishi unadhani wanaenda Kigali kufanya nini?Mpk majuzi Nkuru anatishia kuwakamata wakina Buyoya?

Rwanda wala hawana mpango wa kupigana failed state Burundi ambayo inajifia yenyewe kwa uchumi wake unaokua kwa 0.0% per year,Burundi itapigana vita na FOREBU na RED-TABARA ambavyo vinapewa misaada ya kijeshi na Rwanda.

HUTU power?unless unamaanisha ile ya kushika mapanga+sululu ndio hio power unayomaanisha.
 
Ukimaanisha Nyamwasa na Kagame hawana bifu mkuu?
Namaanisha Watusi hawatupani wakati mhutu anaengia ndani hata kama walikuwa na ugomvi was kuuwana wanamshambulia mhutu.Halafu mtusi hadi Leo haolewi kwa mhutu Ila mhutu anaoa mtusi vita ya watusi ni ya visasi hata miaka 200 ndio maana haiinshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blaza shida ya discussion na wewe hua unakula kona fasta tu bila kujibu hoja ulizoanzisha.

Hao makamanda wehu unaowasifia walikua wapi wkt nkuru anapinduliwa mpk Tz ikamsaidia Nkuru kurudi madarakani?Nkuru sasa amekua kama kuku wa kizungu anashinda Bandani tu amegoma kutoka nje kabisaa.

Nikisema kwa mfano James Kabarebe sifa zake za kijeshi zinajulikana kutokana na vita alivyopigana,tuwekee hapa sifa za huyo kamanda Nyamwite vita alivyowahi kupigana na ali-achieve nini?

Kama Kayumba ni Asset kwa Burundi unasemaje khs General Niyombare aliyeongoza Mapinduzi yaliyofeli hapo Burundi ambae alikua(Former Chief of staff of the army na pia former head of intelligence wa Burundi ambae kwa sasa anaishi zake Kigali na ameunda Jeshi lake la waasi la FOREBU.

Kama Nyamwasa ni asset kwa Burundi,vipi kuhusu Wakina Former President Buyoya wanayoijua Burundi nje ndani na Top Generals wake ambao kila siku trip za Kigali haziishi unadhani wanaenda Kigali kufanya nini?Mpk majuzi Nkuru anatishia kuwakamata wakina Buyoya?

Rwanda wala hawana mpango wa kupigana failed state Burundi ambayo inajifia yenyewe kwa uchumi wake unaokua kwa 0.0% per year,Burundi itapigana vita na FOREBU na RED-TABARA ambavyo vinapewa misaada ya kijeshi na Rwanda.

HUTU power?unless unamaanisha ile ya kushika mapanga+sululu ndio hio power unayomaanisha.
Pole ndugu huwa natoka jf kidogo ku-concetrate na issues za kutafuta mkate na diaper za watoto. Si unajua sie wagagagigigogo.

Kusema Makamanda wa Burundi ni Wehu namaanisha wanaweza Ku act beyond international rules of War. Hata kuattack Civilian.

Kuhusu assets, intelligence wote wanajuana in and out.

Kutumia vikosi vya uasi ndo option kwa wote hasa Rwanda. Hawawezi kukubali direct confrontation Rwanda itaumia zaidi.

Na Rwanda haijawahi kudeploy jeshi kwa direct confrontation wala Kagame hajui hiyo kitu anaigopa baraa. Hiyo gharama mbaya. Kuweka watu laki na vifaa online si mchezo Rwanda itarudi nyuma tu Zero.

Direct confrontation. Haitegemei tena uwezo wa senior officers wa Jeshi Bali uwezo wa Junior officer. Ni Ubora wa training ya Maluteni Major na Kaptain ndo unaokoa jeshi. Hao ndo huwa front line na Askari wakisikiliza barrels zikiunguruma.

All in all Rwanda na Burundi hazitakuja kupigana. Pia Africa nzima in Tz na Ug tu ndo ziliwahi kuonja hiyo kitu vita kamili.

Israeli iliwahi Ku collapse kwa Masa 24 coordination ya jeshi ikapotea. Yom Kappur

Burundi wakivunja Defense ya Rwanda nchi imeenda inch ndogo sana hiyo unaweza kushangaa 24 hrs Kagame akawa yuko Kampala anaomba Ug asaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo nilikua naongelea mambo ya kiuchumi nasio vita.

Burundi chini ya Nkurunziza imeshawahi kushinda vita gani/kupigana na nani?
Kaka nachomaanisha ni kwamba Rwanda haina guarantee ya kushinda hiyo vita wako 50/50 na Burundi. Braza Vita ni mbinu.

History inaonyesha WWII Bila Nyukilia US angepoteza kwa Japan.

Hitler aliingasha France kama upepo. Lakini akakwama Russia.

Dunia ya sasa war is about Allies. Unajua Kagame kaegemea Us/UK.

Unajua France wanafitina gani nae hatujui. Kumbuka ni agency gani ilimtonya M7 kuwa Kagame nataka kukumaliza. Jibu ni France intelligence.

Ushawahi kusikia France anatoa tamko against Nkuru?

Najua Russia walisha give up na Waafrica. But France still operating

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole ndugu huwa natoka jf kidogo ku-concetrate na issues za kutafuta mkate na diaper za watoto. Si unajua sie wagagagigigogo.

Kusema Makamanda wa Burundi ni Wehu namaanisha wanaweza Ku act beyond international rules of War. Hata kuattack Civilian.

Kuhusu assets, intelligence wote wanajuana in and out.

Kutumia vikosi vya uasi ndo option kwa wote hasa Rwanda. Hawawezi kukubali direct confrontation Rwanda itaumia zaidi.

Na Rwanda haijawahi kudeploy jeshi kwa direct confrontation wala Kagame hajui hiyo kitu anaigopa baraa. Hiyo gharama mbaya. Kuweka watu laki na vifaa online si mchezo Rwanda itarudi nyuma tu Zero.

Direct confrontation. Haitegemei tena uwezo wa senior officers wa Jeshi Bali uwezo wa Junior officer. Ni Ubora wa training ya Maluteni Major na Kaptain ndo unaokoa jeshi. Hao ndo huwa front line na Askari wakisikiliza barrels zikiunguruma.

All in all Rwanda na Burundi hazitakuja kupigana. Pia Africa nzima in Tz na Ug tu ndo ziliwahi kuonja hiyo kitu vita kamili.

Israeli iliwahi Ku collapse kwa Masa 24 coordination ya jeshi ikapotea. Yom Kappur

Burundi wakivunja Defense ya Rwanda nchi imeenda inch ndogo sana hiyo unaweza kushangaa 24 hrs Kagame akawa yuko Kampala anaomba Ug asaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwny attack civilian si unaona hata Displine ya kijeshi hawana,ndio maana hata majuzi UN imesema itawarudisha baadhi ya wanajeshi wa Burundi sababu ya poor equiments na poor discpline.

Hivi nini maana ya intelligence mkuu?Kama unaweza ukatumia intelligence ukapigana na kushinda bila kuleta madhara ndani ya nchi yako then unataka nini tena?Marekani umeshawahi kusikia imepigana ndani ya nchi yake.

Ngoja niweke hapa baadhi ya vita hao RDF walivyopigana Congo 1st war,Congo 2nd war(huko walipigana mpk na combination ya jeshi la (Zimbabwe+Namibia+Angola),operations za kutosha huko ndani ya Congo,ishapigana na Uganda Kisangani na Uganda akachezea Kichapo,pia ni ya 5 duniani kwa kua na wanajeshi wengi huko kwny vikosi vya UN.

Hahah Uganda hii hii ambayo M7 wanamjua mpk anapolala?
 
Back
Top Bottom