Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,383
fack lkn mtu kuitwa hivyo tu ndo apanic vileM7 alikosana na PK pale alipoalikwa Kigali wkt anaongea akamuita PK na RPA yake(MY BOYS) kitu ambacho PK anaona ni ma- dharau wkt anajua ni wanyalu wangapi walikufa ili yeye na NRM yake waingie madarakani na bado anajiona yeye PK kwny battle hardened skills yuko njema kuliko M7.
Sent using Jamii Forums mobile app