Ripoti ya Umoja wa Mataifa: Burundi inawasaidia waasi wa NRC kuiangusha serikali ya Kagame

Kagame ni Bingwa wa Ambush. Alikua makamanda wenziwe wakienda vitani anaandaa red Barrett wanawapiga ambush na kuwaua afu anatangaza wameuwawa na Jeshi LA serikali wakubwa wote aliwafyeka kwa sitaili hiyo na kubaki yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi PK na Rwigema walikua wameenda Mozambique wkt wa harakati zao za mwanzo kufanya nini?
 
Hio BUK-23A wewe ndiye uliyeianzisha kuileta hapa JF na kabla yako hakuna sehemu iliwahi kutajwa hapa jukwani, hakuna thread uliacha kuitaja,kuna siku ukabanwa ulete source ya info hio silaha ukasema eti umesikia kijiweni,au umesahau ulisema hivyo?

Au ulishasahu ulisema Burundi kwa hapa East Africa ndio inaongoza kwa kua na RPG nyingi kuliko nchi zote eti ina RPG 10,hahah what a Joke?Wkt hizo RPG full hazicost zaidi ya $2900/RPG,hahah kua serious sometimes.

Jamaa alishindwa kufanya nini?

Nimesema ndege ya kijeshi boss,sijasema drone.
RPG kumi?
nilisema ana aina kumi za ant tank rpg iliingia baada ya mdau mmoja kuniuliza ant tank zikoje

niyombare alishindwa kukamilisha mapinduzi

hyo ndege ya kijeshi ni jet fighter au chopa?

alafu swala la ndege za kijeshi kuingia nchi nyingine ni kawaida saana ata mwaka juzi dege la jeshi la burundi lilizua kizaazaa tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PK alivyofika alianza kujipanga upya,kuweka logistic sawa,kurudisha morali ya wanajeshi na vitu kama hivyo.

Ukinitajia eneo aliloliteka Rwigema hapa ntakubaliana na wewe,la sivyo ni story ya kutunga kama kawa.
PK ni mtaalamu wa 'military tactics ' hata Gen. Romero Dallaire aliyekuwa mkuu wa vikosi vya walinda amani Rwanda alikiri hilo.
 
RPG kumi?
nilisema ana aina kumi za ant tank rpg iliingia baada ya mdau mmoja kuniuliza ant tank zikoje

niyombare alishindwa kukamilisha mapinduzi

hyo ndege ya kijeshi ni jet fighter au chopa?

alafu swala la ndege za kijeshi kuingia nchi nyingine ni kawaida saana ata mwaka juzi dege la jeshi la burundi lilizua kizaazaa tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Burundi ndege yake ilivyoingia Tz ilianza kupiga picha maeneo ya jeshi?Rwanda wamefanya hivyo kwa Burundi.

Niyombare alishindwa mapinduzi si baada ya Jw kuingilia au hapo unamaanisha nini?

Blaza ulisema Burundi wana RPG 10 nchi nzima nikaku-quote na nikakupa costs zake hizo RPG ukalala mbere.Sasa kama hata kama aina 10 za ant-tanks na yeye ndie nchi maskini kabisaa E/Africa unadhani nchi gani hapa E/Africa itashindwa ku-afford hizo ant tanks?
 
Ndio maana tulivyoambiwa humu eti 'hajawahi kuongoza mapambano na hana uwezo huu' nimeshangaa hawa watu wametumia vigezo gani kuhitimisha hivyo.
Hahah ndio maana sometimes JF panakuaga ni sehemu ya kupiga story tu na kupoteza muda.
 
Kwani Burundi ndege yake ilivyoingia Tz ilianza kupiga picha maeneo ya jeshi?Rwanda wamefanya hivyo kwa Burundi.

Niyombare alishindwa mapinduzi si baada ya Jw kuingilia au hapo unamaanisha nini?

Blaza ulisema Burundi wana RPG 10 nchi nzima nikaku-quote na nikakupa costs zake hizo RPG ukalala mbere.Sasa kama hata kama aina 10 za ant-tanks na yeye ndie nchi maskini kabisaa E/Africa unadhani nchi gani hapa E/Africa itashindwa ku-afford hizo ant tanks?
hyo ndege ya burundi haikupiga picha lkn ilipita juu ya kambi ya two four

jw ilimfikisha tu nkuru burundi sio kwamba walizuia waliozima mapinduzi ni wanajeshi watiifu wa nkuru

hakuna nchi inayoshindwa lkn sioni tofauti kubwa za hizi nchi mbili wote wapo hoi tu japo chiga wanakaunafuu

Ya Rwanda imepiga picha maeneo ya jeshi la Burundi.

Hayo mapinduzi ya Burundi achana nayo,ila jua hakuna jeshi pale Burundi ila kuna kundi la wahuni tu.

Nakupa mfano rahisi FDI Ya Burundi last year ni $300,000 only na ukuaji wake wa uchumi kwa mwaka ni 0.0% wkt Rwanda FDI yake last year ni almost 400mil na uchumi unakua kwa 7.2%,nipe data zako kuonyesha wote wapo hoi.
 
rwanda ana unafuu kuliko burundi lkn hicho sio kigezo cha kufanya rwanda aonekane atampiga burundi

hiyo ndege kupiga picha maeneo ya jeshi aliyetoa hiyo taarifa ni nan kati yao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom