Ripoti ya Umoja wa Mataifa: Burundi inawasaidia waasi wa NRC kuiangusha serikali ya Kagame

Mkuu.
Kagame hakuwa kwenye chain of Command ya RPA .
Swali ilikuaje a-take over awe Mkuu wa Jeshi. Lete story yake.

Gusia kwanini Senior kamanda wate wa RPA waliuwawa in battle akabaki Kagame tu.

RPA ilikuwa na uwezo wa kushinda hata 1990. Ilicheleweshwa hadi 1994 ili senior officers wafyekwe abaki yeye tu.

Ili akichukua nchi asiwepo wa kumkosea.

Mfano Akina Kamanda Waswa.

Jiulize kwann wapiganaji wa wa RPA humrejea Fred kama Kamanda Fred na Kagame Afande Kagame. Unaweza kuwa Afande usiwe Kamanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umekuja kunisaidia kwa fact aise nilikuwa nimeshaanza kuishiwa pumzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu.
Kagame hakuwa kwenye chain of Command ya RPA .
Swali ilikuaje a-take over awe Mkuu wa Jeshi. Lete story yake.

Gusia kwanini Senior kamanda wate wa RPA waliuwawa in battle akabaki Kagame tu.

RPA ilikuwa na uwezo wa kushinda hata 1990. Ilicheleweshwa hadi 1994 ili senior officers wafyekwe abaki yeye tu.

Ili akichukua nchi asiwepo wa kumkosea.

Mfano Akina Kamanda Waswa.

Jiulize kwann wapiganaji wa wa RPA humrejea Fred kama Kamanda Fred na Kagame Afande Kagame. Unaweza kuwa Afande usiwe Kamanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani kamanda kufa vitani ni ajabu? Alafu unavyosema ilicheleweshwa unaweza kutuambia nani aliichelewesha? Je hujui pia wakati huo Zaire ya Mobutu ilipeleka askari wake kuyasaidia majeshi ya Habyarimana kupigana na RPF?
 
duh hilo eneo jina lake silijui lkn jua tu kuna eneo tayari fred alikuwa ameshaliteka lkn slim alivyotoka tu us kitu cha kwanza alirudisha vikosi nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
Kagame ni Bingwa wa Ambush. Alikua makamanda wenziwe wakienda vitani anaandaa red Barrett wanawapiga ambush na kuwaua afu anatangaza wameuwawa na Jeshi LA serikali wakubwa wote aliwafyeka kwa sitaili hiyo na kubaki yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani kamanda kufa vitani ni ajabu? Alafu unavyosema ilicheleweshwa unaweza kutuambia nani aliichelewesha? Je hujui pia wakati huo Zaire ya Mobutu ilipeleka askari wake kuyasaidia majeshi ya Habyarimana kupigana na RPF?
Kagame. Kama chief wa Intelligence alikuwa anatoa fake intells wakati akiplot wafuta wenzie. Alipokuwa yeye overall commander ndo RPA ikamvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu.
Kagame hakuwa kwenye chain of Command ya RPA .
Swali ilikuaje a-take over awe Mkuu wa Jeshi. Lete story yake.

Gusia kwanini Senior kamanda wate wa RPA waliuwawa in battle akabaki Kagame tu.

RPA ilikuwa na uwezo wa kushinda hata 1990. Ilicheleweshwa hadi 1994 ili senior officers wafyekwe abaki yeye tu.

Ili akichukua nchi asiwepo wa kumkosea.

Mfano Akina Kamanda Waswa.

Jiulize kwann wapiganaji wa wa RPA humrejea Fred kama Kamanda Fred na Kagame Afande Kagame. Unaweza kuwa Afande usiwe Kamanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo patamu.

Kabla sijakujibu maswali yako niambie General Salim aliposikia rafiki yake Rwigema amefariki alifanya nini na wale ma-senior officers wa RPA aliwafanyaje?

RPA ilikua ina uwezo hata kwa kushinda mwaka 1990?kwa sababu Habyarimana hakua na jeshi au?huu ni uzushi 1st class.

Unajua kulikua French intervation kuwarudisha nyuma RPA na wakamsaidia habyarimana mwaka 1990 kujenga jeshi lake kutoka wanajeshi 9,000 mpk 29,000 huku wakimpa full support ya silaha,intelligence.,etc na wakawa french officers hapo Kigali kwa ajili ya shughuli hio.

Unalinganishaje na RPA iliyokua mpk inatumia baiskeli kusafirisha baadhi ya silaha ndogondogo/medical supplies etc.

Ukimjua Brigedia Dan Gapfiz basi utaelewa alimfanya nini kamanda Waswa.

Hapo kwny "kwann wapiganaji wa wa RPA humrejea Fred kama Kamanda Fred na Kagame Afande Kagame.Jibu ni rahisi tu kwa kutumia mfano huu wa M7 vs PK mwandishi aliandika hivi:

If i had to invite one of the two men to a party at my house,i would invite M7 but if i had to employ one of them to run my company ,i would hire Kagame.

So kwa mfano huo rahisi hapo juu unaweza kuelewa ni kwanini PK anaitwa afande though nimetoa mfano M7 badala ya Rwigema atlest upate picha.

Naeza nikaandika hizi mambo mpk asubuhi aiseee.
 
Mkuu! Kagame si alikuwa bado yuko US? Vipi sasa awafyeke wenzake ilihali hakuwepo?
Ni copy toka daily monitor LA Uganda
A Tutsi from Mbarara in western Uganda and former FRONASA soldier, Maj. Adam Wasswa, was the deputy commander of the RPA to Rwigyema at the time of the Rwanda invasion.
On July 28, 1991, as Maj. Wasswa was travelling in a Toyota Land Cruiser with Kagame for an RPF High Command meeting in Rwanda, the vehicle is said to have been involved in an accident. Wasswa died. An RPA Captain Kairangwa in the vehicle also died. To this day, the facts of this accident have never been explained

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkwanini m7 alivyosifiaga uwezo wa fred kwenye mapambano slim alichukia kabisa?

slim alimuona fred kama adui kulingana na ushawishi na uwezo wake

Sent using Jamii Forums mobile app
M7 alikosana na PK pale alipoalikwa Kigali wkt anaongea akamuita PK na RPA yake(MY BOYS) kitu ambacho PK anaona ni ma- dharau wkt anajua ni wanyalu wangapi walikufa ili yeye na NRM yake waingie madarakani na bado anajiona yeye PK kwny battle hardened skills yuko njema kuliko M7.
 
jaribu kufatilia kifo cha jamaa then utachuja mwenyewe

wapo wanaodai risasi ilikata kona(ilipiga ukuta then ikaenda kwa fred)

wengine wanadai aliuwawa baada ya kubishana njia ya kutumia na makamanda wengine(kikawaida plan ya vita inapokuwa inapagwa kila kamanda huwa anatoa maoni yake kubwa zaidi ni ushindi) sasa kwanini yeye auwawe alafu mbinu alyokuwa anaitaka yeye slim aliitumia pia na hakuuwawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hio ulitaka PK na yeye auwawe iki akuthibitishie kwamba Rwigema alikufa kihalali,hahah aisee.

Kweli kama unavyosemaga ulijiunga JF kubishana.
 
Kwa hio ulitaka PK na yeye auwawe iki akuthibitishie kwamba Rwigema alikufa kihalali,hahah aisee.

Kweli kama unavyosemaga ulijiunga JF kubishana.
A Tutsi from Mbarara in western Uganda and former FRONASA soldier, Maj. Adam Wasswa, was the deputy commander of the RPA to Rwigyema at the time of the Rwanda invasion.
On July 28, 1991, as Maj. Wasswa was travelling in a Toyota Land Cruiser with Kagame for an RPF High Command meeting in Rwanda, the vehicle is said to have been involved in an accident. Wasswa died. An RPA Captain Kairangwa in the vehicle also died. To this day, the facts of this accident have never been explained

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu.
Kagame hakuwa kwenye chain of Command ya RPA .
Swali ilikuaje a-take over awe Mkuu wa Jeshi. Lete story yake.

Gusia kwanini Senior kamanda wate wa RPA waliuwawa in battle akabaki Kagame tu.

RPA ilikuwa na uwezo wa kushinda hata 1990. Ilicheleweshwa hadi 1994 ili senior officers wafyekwe abaki yeye tu.

Ili akichukua nchi asiwepo wa kumkosea.

Mfano Akina Kamanda Waswa.

Jiulize kwann wapiganaji wa wa RPA humrejea Fred kama Kamanda Fred na Kagame Afande Kagame. Unaweza kuwa Afande usiwe Kamanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwa PK kuchukua ukuu wa majeshi labda wewe ungesema unadhani nani angestahili badala yake.
 
RPA ilikua ina uwezo hata kwa kushinda mwaka 1990?kwa sababu Habyarimana hakua na jeshi au?huu ni uzushi 1st class.

Unajua kulikua French intervation kuwarudisha nyuma RPA na wakamsaidia habyarimana mwaka 1990 kujenga jeshi lake kutoka wanajeshi 9,000 mpk 29,000 huku wakimpa full support ya silaha,intelligence.,etc na wakawa french officers hapo Kigali kwa ajili ya shughuli hio.
Habyarimana alisaidiwa Sana na Zaire ya Mobutu na Ufaransa hivyo RPA kushinda vita 1990 isingewezekana na hili jambo hawa wadau hawataki kukiri hili.
 
Hapo kwa PK kuchukua ukuu wa majeshi labda wewe ungesema unadhani nani angestahili badala yake.
A Tutsi from Mbarara in western Uganda and former FRONASA soldier, Maj. Adam Wasswa, was the deputy commander of the RPA to Rwigyema at the time of the Rwanda invasion.
On July 28, 1991, as Maj. Wasswa was travelling in a Toyota Land Cruiser with Kagame for an RPF High Command meeting in Rwanda, the vehicle is said to have been involved in an accident. Wasswa died. An RPA Captain Kairangwa in the vehicle also died. To this day, the facts of this accident have never been explained

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hio ulitaka PK na yeye auwawe iki akuthibitishie kwamba Rwigema alikufa kihalali,hahah aisee.

Kweli kama unavyosemaga ulijiunga JF kubishana.
Hawa wadau inaonyesha hawampendi Kagame hivyo watamcrush mwanzo mwisho hata kwa kuongopa.
 
A Tutsi from Mbarara in western Uganda and former FRONASA soldier, Maj. Adam Wasswa, was the deputy commander of the RPA to Rwigyema at the time of the Rwanda invasion.
On July 28, 1991, as Maj. Wasswa was travelling in a Toyota Land Cruiser with Kagame for an RPF High Command meeting in Rwanda, the vehicle is said to have been involved in an accident. Wasswa died. An RPA Captain Kairangwa in the vehicle also died. To this day, the facts of this accident have never been explained

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwanini ukihusishe hiki kisa na Kagame?
 
dah hyo buk unaipenda saana

mara nyingi mapinduzi huwa yanafanya na maluten lkn hilo alifanya meja jeneral (meja jeneral anauwezo wa kukomandi wajeda zaidi ya 5000) lkn jamaa alishindwa kwa nini?

hizo habari za ndege sina ilikuwa ni aina gani drone?

na alipiga picha za nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio BUK-23A wewe ndiye uliyeianzisha kuileta hapa JF na kabla yako hakuna sehemu iliwahi kutajwa hapa jukwani, hakuna thread uliacha kuitaja,kuna siku ukabanwa ulete source ya info hio silaha ukasema eti umesikia kijiweni,au umesahau ulisema hivyo?

Au ulishasahu ulisema Burundi kwa hapa East Africa ndio inaongoza kwa kua na RPG nyingi kuliko nchi zote eti ina RPG 10,hahah what a Joke?Wkt hizo RPG full hazicost zaidi ya $2900/RPG,hahah kua serious sometimes.

Jamaa alishindwa kufanya nini?

Nimesema ndege ya kijeshi boss,sijasema drone.
 
duh hilo eneo jina lake silijui lkn jua tu kuna eneo tayari fred alikuwa ameshaliteka lkn slim alivyotoka tu us kitu cha kwanza alirudisha vikosi nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
PK alivyofika alianza kujipanga upya,kuweka logistic sawa,kurudisha morali ya wanajeshi na vitu kama hivyo.

Ukinitajia eneo aliloliteka Rwigema hapa ntakubaliana na wewe,la sivyo ni story ya kutunga kama kawa.
 
Mkuu kwani kamanda kufa vitani ni ajabu? Alafu unavyosema ilicheleweshwa unaweza kutuambia nani aliichelewesha? Je hujui pia wakati huo Zaire ya Mobutu ilipeleka askari wake kuyasaidia majeshi ya Habyarimana kupigana na RPF?
Na huo ndio ukweli,sasa sijui alitaka ka kikundi ka waasi RPA kapigane na majeshi ya nchi 2+ yenye misaada ya kijeshi kutoka France afu bado waasi washinde kirahisi rahis tu.
 
Back
Top Bottom