Ripoti ya Umoja wa Mataifa: Burundi inawasaidia waasi wa NRC kuiangusha serikali ya Kagame

Wapo ila sio Kagame.

Hayo maneno ya huyo mwasi Nyamwasa ni propaganda tupu.
dah jamaa umezidi kwa ubishi umeambiwa vzr tu slim alijiunga na wavamizi wenzia akiwa meja jeneral tayari tena alikuta baadhi ya maeneo yameshadhibitiwa na fred

kiulisia meja jeneral huwa haingii front line mapambano mara nyingi huwa yanaongozwa na brigedia

slim alikuwa ni mkuu wa ujasusi tu waingoza battle walikuwa ni kina kayumba na wengine kama kabarebe

ukija kubisha uje na battle alizoongoza mabeyo mpaka akaukwaa u cdf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua huyo Rwigema alikufa muda gani tangu ameingia kwny uwanja wa mapambano ya kuikomboa Rwanda?
 
fred aliuwawa mapema na ni baada ya slim kuona uwezo na kasi ya fred ya kuifukuzia chiga

fred alikuwa amekamia kuikamata chiga kwa siku tisini tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa angu kwa story za kutunga uko vzr sana aisee,Rwigema alitofautiana na wakubwa wenzake kuhusu njia ya kutumia kuikamata Kigali yeye alitaka guerilla war wenzake walitaka direct confortation,wakam maliza fasta.

Na PK alivyokatisha kozi kurudi kwny mapambano akatumia guerrila war.

Acheni uzushi na story za kutunga.
 
Hahah kumbe nkuru ana wanajeshi Urusi tu?mwenzake dunia nzima ana wanajeshi.

Nilikuwekea link ya UN kuwapunguza wanajeshi 1000 wa Burundi kwny kikosi chao,sababu ya vifaa duni+mafunzo hafifu naona ukala kona fasta.
burundi ni like baba yake huwa hafanyi maonesho ya silaha zake hovyo

kwa ukanda huu burundi ndie mwenye mizinga mizuri nyuma ya tz ana BM-45

pia ndio mwenye ant tank zenye kupiga mbali

chiga bm-21 wamezipata mwaka jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa angu kwa story za kutunga uko vzr sana aisee,Rwigema alitofautiana na wakubwa wenzake kuhusu njia ya kutumia kuikamata Kigali yeye alitaka guerilla war wenzake walitaka direct confortation,wakam maliza fasta.

Na PK alivyokatisha kozi kurudi kwny mapambano akatumia guerrila war.

Acheni uzushi na story za kutunga.
mkwanini m7 alivyosifiaga uwezo wa fred kwenye mapambano slim alichukia kabisa?

slim alimuona fred kama adui kulingana na ushawishi na uwezo wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serious! Hizi habari mnatungia wapi? Yaani Kagame aliamuru vikosi virudi nyuma kisa alimuonea wivu Fred? Uko serious kweli!
jaribu kufatilia kifo cha jamaa then utachuja mwenyewe

wapo wanaodai risasi ilikata kona(ilipiga ukuta then ikaenda kwa fred)

wengine wanadai aliuwawa baada ya kubishana njia ya kutumia na makamanda wengine(kikawaida plan ya vita inapokuwa inapagwa kila kamanda huwa anatoa maoni yake kubwa zaidi ni ushindi) sasa kwanini yeye auwawe alafu mbinu alyokuwa anaitaka yeye slim aliitumia pia na hakuuwawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
burundi ni like baba yake huwa hafanyi maonesho ya silaha zake hovyo

kwa ukanda huu burundi ndie mwenye mizinga mizuri nyuma ya tz ana BM-45

pia ndio mwenye ant tank zenye kupiga mbali

chiga bm-21 wamezipata mwaka jana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah Baba yake yupi?Mtu kapinduliwa ndani ya siku 1 unasema kuna jeshi hapo.

Leo nashangaa kwanini hujasema mambo ya Buk-23 na RPG ingawa hio BUK-23 haipo kwenye rekodi ya silaha zozote duniani au ni special designed kwa ajili ya nchi hio tu.,teh

By the way unajua December 28,ndege ya jeshi la Rwanda ikiwa na iliingia ndani ya anga la Burundì ikapiga picha inazotaka na kusepa.
 
jaribu kufatilia kifo cha jamaa then utachuja mwenyewe

wapo wanaodai risasi ilikata kona(ilipiga ukuta then ikaenda kwa fred)

wengine wanadai aliuwawa baada ya kubishana njia ya kutumia na makamanda wengine(kikawaida plan ya vita inapokuwa inapagwa kila kamanda huwa anatoa maoni yake kubwa zaidi ni ushindi) sasa kwanini yeye auwawe alafu mbinu alyokuwa anaitaka yeye slim aliitumia pia na hakuuwawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani siku anauwawa Fred una uhakika Major Kagame alikuwepo kwenye hayo mapambano?
 
Jamaa angu kwa story za kutunga uko vzr sana aisee,Rwigema alitofautiana na wakubwa wenzake kuhusu njia ya kutumia kuikamata Kigali yeye alitaka guerilla war wenzake walitaka direct confortation,wakam maliza fasta.

Na PK alivyokatisha kozi kurudi kwny mapambano akatumia guerrila war.

Acheni uzushi na story za kutunga.
Mkuu.
Kagame hakuwa kwenye chain of Command ya RPA .
Swali ilikuaje a-take over awe Mkuu wa Jeshi. Lete story yake.

Gusia kwanini Senior kamanda wate wa RPA waliuwawa in battle akabaki Kagame tu.

RPA ilikuwa na uwezo wa kushinda hata 1990. Ilicheleweshwa hadi 1994 ili senior officers wafyekwe abaki yeye tu.

Ili akichukua nchi asiwepo wa kumkosea.

Mfano Akina Kamanda Waswa.

Jiulize kwann wapiganaji wa wa RPA humrejea Fred kama Kamanda Fred na Kagame Afande Kagame. Unaweza kuwa Afande usiwe Kamanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah Baba yake yupi?Mtu kapinduliwa ndani ya siku 1 unasema kuna jeshi hapo.

Leo nashangaa kwanini hujasema mambo ya Buk-23 na RPG ingawa hio BUK-23 haipo kwenye rekodi ya silaha zozote duniani au ni special designed kwa ajili ya nchi hio tu.,teh

By the way unajua December 28,ndege ya jeshi la Rwanda ikiwa na iliingia ndani ya anga la Burundì ikapiga picha inazotaka na kusepa.
dah hyo buk unaipenda saana

mara nyingi mapinduzi huwa yanafanya na maluten lkn hilo alifanya meja jeneral (meja jeneral anauwezo wa kukomandi wajeda zaidi ya 5000) lkn jamaa alishindwa kwa nini?

hizo habari za ndege sina ilikuwa ni aina gani drone?

na alipiga picha za nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah Baba yake yupi?Mtu kapinduliwa ndani ya siku 1 unasema kuna jeshi hapo.

Leo nashangaa kwanini hujasema mambo ya Buk-23 na RPG ingawa hio BUK-23 haipo kwenye rekodi ya silaha zozote duniani au ni special designed kwa ajili ya nchi hio tu.,teh

By the way unajua December 28,ndege ya jeshi la Rwanda ikiwa na iliingia ndani ya anga la Burundì ikapiga picha inazotaka na kusepa.
Haha ndege gani?. Chopa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom