Ripoti ya uhalifu haistahili kufikishwa kwa IGP moja kwa moja

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,675
149,861
Hivi ni kwanini ripoti za kiuchunguzi zinazoonyesha kuwa kuna viashiria vya uhalifu nakala zake zisiwe zinapelekwa moja kwa moja kwa IGP na hata TAKUKURU mbali na kupelekwa serikalini?

Nafikiri wakati umefika tuwe na sheria ya aina hii ili nakala ya ripoti zote zinazotokana na uchunguzi uliofanywa na kamati iliyoundwa na Waziri au Bunge ziwasilishwe moja kwa moja kwa IGP na TAKUKURU na sheria hiyo izipe nguvu na Mamlaka taasisi hizi mbili za kuanza uchunguzi wake moja kwa moja bila kusubiri hatua zitakazochukuliwa na serikali(Mamlaka ya uteuzi) kwani nchi hii kinga iko kwa Raisi tu hivyo hakuna haja ya kusubiri kwanza Mamlaka ya uteuzi /nidhamu ichukue hatua za kutekeleze mapendekezo ya kamati au maazimio ya Bunge juu ya jambo fulani.

Tatizo kubwa la sisi watanzania ni kutumia nguvu nyingi na muda mwingi kujadili matatizo yanayotokana na sheria zetu mbovu na katiba yetu ya mwaka 77 huku tukitumia muda mchache na nguvu kidogo sana kudai mabadiliko ya katiba pamoja na sheria hizi zilizopitwa na wakati.

Tubadilike watanzania lasivyo tutaendelea kulalamika kila siku mpaka pale siku Yesu atakaporudi.

Tunadili zaidi na matatizo kulio vyanzo vya matatizo.
 
Atkayepeleka anatumbuliwa fasta.nchi haipo sarama hiii tena atamtuma dogo aje kukuua asifanywe kitu
 
Hivi ni kwanini ripoti za kiuchunguzi zinazoonyesha kuwa kuna viashiria vya uhalifu nakala zake zisiwe zinapelekwa moja kwa moja kwa IGP na hata TAKUKURU mbali na kupelekwa serikalini?

Nafikiri wakati umefika tuwe na sheria ya aina hii ili nakala ya ripoti zote zinazotokana na uchunguzi uliofanywa na kamati iliyoundwa na Waziri au Bunge ziwasilishwe moja kwa moja kwa IGP na TAKUKURU na sheria hiyo izipe nguvu na Mamlaka taasisi hizi mbili za kuanza uchunguzi wake moja kwa moja bila kusubiri hatua zitakazochukuliwa na serikali(Mamlaka ya uteuzi) kwani nchi hii kinga iko kwa Raisi tu hivyo hakuna haja ya kusubiri kwanza Mamlaka ya uteuzi /nidhamu ichukue hatua za kutekeleze mapendekezo ya kamati au maazimio ya Bunge juu ya jambo fulani.

Tatizo kubwa la sisi watanzania ni kutumia nguvu nyingi na muda mwingi kujadili matatizo yanayotokana na sheria zetu mbovu na katiba yetu ya mwaka 77 huku tukitumia muda mchache na nguvu kidogo sana kudai mabadiliko ya katiba pamoja na sheria hizi zilizopitwa na wakati.

Tubadilike watanzania lasivyo tutaendelea kulalamika kila siku mpaka pale siku Yesu atakaporudi.

CC: Tumaini Makene

Ushauri huu naomba uwafikie wabunge wote wa CHADEMA/UKAWA.
 
Back
Top Bottom