Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,001
- 112,644
- Thread starter
- #81
Uongo!UKIMWI una miaka zaidi 40 nchini toka ujulikane na Malaki ya watu kote duniani kufariki lakini Tanzania hakuna mtu hata mmoja aliyekufa kwa ugonjwa huo ila kifua kikuu, saratani na magonjwa mengine yaliua watu wengi sana kipindi hicho. Covid-19 kwa muda mfupi imeua malaki ya watu, mamilioni wakiugua kote duniani ikiwa pamoja na nchi zote zinazotuzunguka lakini kwetu ni watu 4 tu walioambukizwa wakifariki kwa magonjwa ya kawaidà kusitukiza ikiwa ni pamoja ugonjwa wa moyo, cancer nk
Nina ndugu kibao tu na wa karibu kabisa ambao wamekufa kwa upungufu wa kinga mwilini.
Ninao wengine ambao hivi sasa ni waathirika wa huo upungufu.
Na hakuna ugonjwa uitwao UKIMWI.
Hivyo, UKIMWI hauui. Kinachoua ni yale magonjwa nyemelezi kama kifua kikuu, saratani, malaria ya kwenye ubongo, n.k.
Jifunze....