Ripoti ya RUSHWA Tanzania (From UK and IRISH AID)

Lyimo

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,826
2,017
Powered by Google Docs

Sina hakika kama ilishakuwa posted humu. Kwa wale ambao hawajaiona, tafadhali fungua link hiyo juu ujionee. Ni ndefu ila imeeleza mambo mengi kiuwazi yanayohitaji tafakari. Inaonyesha ilifanyiwa utafiti wa kutosha.

Jioni njema.
 
Asante mkuu,
Ukipata na hiyo mpya ya Twaweza na elimu ya msingi tuwekee link...huu ni mwanzo wa intellectual evidence za governance ya nchi hii...
 
Asante mkuu,
Ukipata na hiyo mpya ya Twaweza na elimu ya msingi tuwekee link...huu ni mwanzo wa intellectual evidence za governance ya nchi hii...

Asante MTAFITI, nitajitahidi kwa hilo pia.
 
Back
Top Bottom