You are absolutely right. To clean up the mess we need a president who is STRONG, BRAVE, and is willing to MAKE TOUGH DECISIONS. Most of the corrupt incompetent "leaders" are his friends or have other powerful friends (Lowassa, Mramba, Mkapa etc). People need to be fired not given second, third, fourth chances, lectures, etc. JK is a coward he is not capable of this.
Mawaziri lazima waelewe kwamba wamepata uwaziri baada ya kupata ubunge ambao wamechaguliwa na wananchi wa majimbo yao. Huyo Lowassa asiwatishe hata kidogo kama uwaziri atawanyang'anya basi na awanyang'anye lakini ni hekima na busara kwa mawaziri na wabunge kusimamia masilahi ya wananchi wa Tanzania. PM anajijua ama anajua uwozo uliofanywa katika dili hilo na huenda hata yeye ni muhusika mkubwa sasa anataka kuwafunga midomo wabunge ambao baadhi yao wameanza kupata akili na kuamka.
Sisi watanzania tutaendelea kuwazomea na kuwapiga mawe wabunge na mawaziri wote ambao watakuwa wanapitisha mambo ya kutuumiza kama hayo.
Kubwa zaidi ninaloliona ni kuweka mikakati ya kufunika mambo na kupoza chungu kinachoelekea kuchemka.
Kazi ya kusafisha serikali itahitaji kufumua karibu serikali nzima; jambo ambalo haliwezekani.
Nadhani jambo analoweza kufanya Kikwete ili kurudisha imani yake kwa wananchi kwa kiasi fulani, ni kujinasua moja kwa moja na kundi hili lililomteka tokea wakati wa uchaguzi.
Atuonyesha kwa vitendo thabiti kuwa mambo haya ya kuwaibia wananchi hataweza kuyavumilia. Atuonyeshe kwa vitendo, na isiwe kwa maneno tu kila mara, hata pale ushahidi unapoonekana kuwa upo kuchukua hatua. Asikubali mambo ya kulindana yamteke.
Tuweni na sense of responsibility mzee Lowassa!
tic tak tic tak...
Njia pekee ya kupush wana CCM wamchukulie hatua WM ni kwa mbunge kuleta hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu..
Mkuu yuko busy na mambo ya Darfur, Kenya, DRC, Zimbabwe etc. Anatengeneza international profile. Haya mnayoongelea hayaumizi kichwa kwake.
Yeye (Pm) na Msabaha
..but, who will dare do that? i doubt this!
Mkuu yuko busy na mambo ya Darfur, Kenya, DRC, Zimbabwe etc. Anatengeneza international profile. Haya mnayoongelea hayaumizi kichwa kwake.