Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Wanasema aliingia akiwa hana raha na alipotoka wenzake walibaki wameduwaa na wakitafakari kwamba wanaambiwa watetee ripoti ambayo hawajui inasema nini!!!!.[/QUOTE said:
Its time to reap what was sown.If he was a champion of these embezlement and the boomerang has rebounced how can he be happy?

But lets watch carefully .The man can manipulate things .Kama wabunge hawajawa ngangari tujue kwamba inaweza kutolewa simple sentence kama ile ya Wazuia rushwa wa nchi hii."The deal was clean" Lets keep watching.
 
Huu ndio wakati umefika wa Mhe.JK...ku dump yale majitu ambayo ni liability ktk cabinet yake...i've feeling that mkuu wa mafisadi ambaye hata mzee JKN alimtema atakuwa wa kwanza akifunga virago...i bet JK atafanya cabinet reshuffle after kikao hiki cha bunge.

Jamani Jakaya ana mambo mengi sana ktk kuliongoza taifa hili na Afrika,tusiwe kama Kenya,ukiwauliza wakenya leo Kwanini walitaka kumuangusha Kibaki hawana jibu la kisayansi wale jamaa zaidi ya lawama,sasa nasi tunataka reshuffle kwa sababu ipi iliyo dhahiri kwa sasa?

Au ndio mazoea ya kila serikali baada ya 2yrs in power kuvunja baraza au reshuffle? 1987 na 1997 eti?

Ninawaomba waungwana mnipatie sababu tano za msingi za kumfanya Jakya avunje Baraza lake?
 
Nadhani jambo analoweza kufanya Kikwete ili kurudisha imani yake kwa wananchi kwa kiasi fulani, ni kujinasua moja kwa moja na kundi hili lililomteka tokea wakati wa uchaguzi. Atuonyesha kwa vitendo thabiti kuwa mambo haya ya kuwaibia wananchi hataweza kuyavumilia. Atuonyeshe kwa vitendo, na isiwe kwa maneno tu kila mara, hata pale ushahidi unapoonekana kuwa upo kuchukua hatua. Asikubali mambo ya kulindana yamteke.[/QUOTE]

Hiyo nimeipenda, aonyeshe kwa vitendo thabiti......nadhani changamoto aliyonayo ni kuwawajibisha wahusika, ambalo kutokana na EPA(BOT) kunavyoendelea inaonesha anaelekea kushindwa. Kuna usanii sana wananchi wanapigwa hapa. Wakati akitengua uteuzi wa Balali iliripotiwa kwenye vyombo vya habari..eti alionyesha kuchukizwa sana..... hahahahah
 
"Ni nani atakae kusaliti bwana"? Yuda akamuuliza bwana Yesu. Hii quotation imenikumbusha hayo yanayoendelea. Hakuna wa kuisaliti CCM aliye ndani ya CCM. Hawa wabunge knows kwamba kazi yao ni lifetime job, why do they bother kubabaishana na Richmond au IPTL.

People who have open eyes will always see what is ahead. Guyz, this people plays politics. Huu muswada wa Richmond, Barrack and many other non sense ushawai kuja bungeni na aliyeuleta ni huyo huyo Karamangi waliyemzoe leo, what happen then? Why didn't they asked back then? Hii ni kucheza na wananchi kisaikolojia, this people are so smart, they know where to touch so they can make headlines.

I feel deep sad.
 
FDR unataka kutueleza hujui ni kwanini baraza tunataka livunjwe/lipunguzwe?. Some of the sababu ni hizi hapa.

1.Baraza ni kubwa lisilo na sababu. Mawaziri 61 ni mzigo usio na sababu kwa walikodi walala hoi. Baadhi ya wizara zilipaswa kuwa ni idara. Do you know kwamba hakuna tofauti kati ya wizara ya usalama wa raia na polisi?

2.Mawaziri wengi either wako incomptent au ni corrupt wa kutisha. Kashfa ya EPA kwa mfano inawagusa moja kwa moja. Meghji,Mramba,Kadamage kwa uchache.

3.Kumekuwapo na migongano,its like nani hajui afanye lipi. Kuna tukio la Oldonyo Lengai ilipolipuka,mwaziri 6 waligongana wote kushangaa tukio pasipokufanya lolote.

Ninazo nyingine nitakupa baadaye niko tite.
 
Hizi hadithi nazo, yaaani Waziri wa Mipango na Uchumi na tenda za Meli wapi na wapi ? Au mimi ndio sielewi ?
 
Kuna siku JK alisema kwamba Urais ni wa kwake peke yake; hana ubia na mtu.
I just wonder kama alimaanisha kwamba wale wanaoamini kwamba wamemweka Ikulu hawawezi kumshawishi katika maamuzi yake.
 
Sitegemei mabadiliko yeyote hata hiyo Ripoti ya Richimondi ikisomwa na wanakijiji wooote wa Bara na Tanganyika, nina sababu:

1. Jinsi JK alivyoingia madarakani, ana mengi ya kulipa.
2. Management style ya JK ni mbovu labda kwa kuwa ni mwanajeshi mara nyingi ana-act kama CO,
3. Ukaribu wa EL na JK, akimuondoa leo atakuwa anameza matapishi yake, maana wakubwa walikwisha mueleza hakusikia
4. Wabune woooote wa CCM ni "coward flocks", hakuna atakayeinua pua yake, maana uchaguzi ujao hutarudi
5. n.k.
 
Nahisi thread hii mwelekeo unapotea, kwa nini mtu usisome haeding kwanza kabla ya kuchangia????????
 
"Serikali ilikuwa na nia njema na Richmond" ....naweza kuiita hii statement ya mwaka 2008!!!
Huyu Richmonduli ameshindwa kuleta umeme wa dharura wakati huo huo serikali ilikuwa na mpango mzuri na yeye??? au ndo mpango wenyewe huo ili wananchi tukose umeme na tushindwe kuacsess information?????
Hakuna kutishana mwaka huu hapa kila kitu kiwe black n white!
 
"Serikali ilikuwa na nia njema na Richmond" ....naweza kuiita hii statement ya mwaka 2008!!!

Kwa kweli hii kali sana...'nia njema' Serikali sijui anaimaimanisha kitu gani....mwaka huu tutasikia mengi
 
Mimi siamini kabisa kwamba CCM wanataka kumvaa Lowassa. Hii wanayocheza hapa
ni ngoma ambayo tumeiona mara nyingi. Wabunge wataitwa na kutishwa.

Pia hiyo report ya Mwakyembe sitegemei iwe na mawe, jamaa anajitahidi kurudi kwenye mtandao kwa nguvu zote kwahiyo atajaribu njia zote ili report iwe neutral sana sana iwaguse mawaziri lakini sio PM.

Mimi kwenye hili wala sinunui popocorns maana ni picha lile lile ambalo nimeliona mara nyingi likiisha kwa mizengwe.

JK is too weak to sack Lowassa. He is much more committed to their friendship than to the well-being of our country.
 
Halisi you have hit the nail while it is hot. Please relay to us more newz on the Richmond saga by Wabunge in DOM. Keep it up.
 
Mimi siamini kabisa kwamba CCM wanataka kumvaa Lowassa. Hii wanayocheza hapa
ni ngoma ambayo tumeiona mara nyingi. Wabunge wataitwa na kutishwa.

Pia hiyo report ya Mwakyembe sitegemei iwe na mawe, jamaa anajitahidi kurudi kwenye mtandao kwa nguvu zote kwahiyo atajaribu njia zote ili report iwe neutral sana sana iwaguse mawaziri lakini sio PM.

Mimi kwenye hili wala sinunui popocorns maana ni picha lile lile ambalo nimeliona mara nyingi likiisha kwa mizengwe.

JK is too weak to sack Lowassa. He is much more committed to their friendship than to the well-being of our country.

I WISH MAJORITY OF TANZANIANS TO SEE THIS
 
Kuna ujinga wa hali ya juu unaoendelea hapa .Wabunge walitakiwa wapatiwe ripoti two weeks kabla hata ya vikao vya bunge kuanza ali waweze kufanya uchunguzi yakinifu , kitu ninachoshindwa kuelewa kwa nini wamenga'nga'nia hiyo ripoti ?
 
Duu kazi ipo ndugu zangu mimi nawaomba tuombe mungu sana, tusali tukeshe hawa jamaa roho za huruma ziwaingie japo kidogo EL na kundi lake, wanatumaliza jamani wakati ni huu .........
 
Nchimbi anafanya kampeni kumtetea Pm wake anasema Msabaha anataka kuondoka na mtu kwa hiyo ASISIKILIZWE
 
Mimi siamini kabisa kwamba CCM wanataka kumvaa Lowassa. Hii wanayocheza hapa
ni ngoma ambayo tumeiona mara nyingi. Wabunge wataitwa na kutishwa.

Pia hiyo report ya Mwakyembe sitegemei iwe na mawe, jamaa anajitahidi kurudi kwenye mtandao kwa nguvu zote kwahiyo atajaribu njia zote ili report iwe neutral sana sana iwaguse mawaziri lakini sio PM.

Mimi kwenye hili wala sinunui popocorns maana ni picha lile lile ambalo nimeliona mara nyingi likiisha kwa mizengwe.

JK is too weak to sack Lowassa. He is much more committed to their friendship than to the well-being of our country.

You are absolutely right. To clean up the mess we need a president who is STRONG, BRAVE, and is willing to MAKE TOUGH DECISIONS. Most of the corrupt incompetent "leaders" are his friends or have other powerful friends (Lowassa, Mramba, Mkapa etc). People need to be fired not given second, third, fourth chances, lectures, etc. JK is a coward he is not capable of this.
 
Hii daganya toto ya SISIM mnaiamini. Kama wataleta action za G55 ndiyo nitawaamini. So far wanatuchezea mazingaombwe. Rais kishaiona ripoti kwa nini hachukui action zozote za kuwawajibisha watendaji wake? Bunge likijadili then what next? Wanajaribu kuwapoza WaTZ ili tuwaone wanafanyakazi. Hivi kweli wanataka tuamini ni Zito na Slaa pekee ndiyo walijua hizo skendo? Mbona upinzani walipo-expose mambo wanashambuliwa halafu leo ndiyo wanataka kutudaganya kuwa wanauchungu na nchi. I cannot buy that!!!!!!
 
Back
Top Bottom