Ripoti ya pili ya Mchanga: Mwanasheria Mkuu ni zamu yako!

Musoma Yetu

JF-Expert Member
Mar 11, 2016
2,629
2,288
Habari za humu ndani wadau.

Kama kawaida, hii ripoti ya pili ya wachumi na wanasheria, nadhani ni awamu nyingine kwa Mr. Masaju kurejea nyumbani Musoma, mugango!!

Kama ilivyokuwa kwa Prof. Muhongo kushindwa kusimamia wizara, Masaju pia nadhani ameshindwa kusimamia sheria ambazo zinaandaliwa na ofisi yake..

Mwaka huu kilio kwetu kipo mara. Karibu uungane na wengine pale Mugango ili tuvue samaki maana tuna ziwa karibu.
 
Endelea kulia lia tu. Jinamizi la IPTL limeongezewa mkataba mpaka 2025.

Teh teh ccm bwana, mnachekesha na kutia kinyaa,
Aliyekunya juu ya meza (waliosaini mikataba mibovu) ndiyo watakaoibika.

Hii ni hatari kama kula hela za marehemu. Ngoja tuone mkoloni mweusi atafanyaje?

Teh teh teh teh CCM kwa kulalamika.

Bila ccm hii nchi ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Jana tumedraw, uwaziri kapewa mtu wa ccm hana hata knowledge yyte kuhusiana na mpira ila kwasbb ni mwanaccm kapewa. Hela nyingi zinatumika kuwashitaki upinzani.

Nilishangaa sana nyasi za simba na basi la serengeti vinapigwa mnada kisa kodi.

Nikajua tayari hapa, hatuhitaji michezo ila tunataka kodi. Na kweli tuendelee kutafuta kodi tu.
 
mibovu) ndiyo watakaoibika.
Hii ni hatari kama kula hela za marehemu. Ngoja tuone mkoloni mweusi atafanyaje?
Teh teh teh teh ccm kwa kulalamika.
Bila ccm hii nchi ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Jana tumedraw, uwaziri kapewa mtu wa ccm hana hata knowledge yyte kuhusiana na mpira ila kwasbb ni mwanaccm kapewa. Hela nyingi zinatumika kuwashitaki upinzani
Nilishangaa sana nyasi za simba na basi la serengeti vinapigwa mnada kisa kodi.
Nikajua tayari hapa, hatuhitaji michezo ila tunataka kodi. Na kweli tuendelee kutafuta kodi tu
Kwani mkuu tayari IPTL imesaini???
 
teh teh
Ilitakiwa iishe 2022 lkn wameongezewa mpaka 2025
Acha wapige hela. Hii ndiyo bara giza
Dah?? Ina maana juhudi za kumsimamisha mkurugenzi mkuu ewura ni danganya toto. Na wanaelewa kabisa IPTL ni matapeli.
 
Jamanieeeee
Dude limeamshwa na litazoa wataalamu na wanasiasa lukuki
Tumuombe Mungu atupe pumzi yakutosha tuone makaburi yakifukuliwa na mizimu ikiibuka hadharani
 
Jamanieeeee
Dude limeamshwa na litazoa wataalamu na wanasiasa lukuki
Tumuombe Mungu atupe pumzi yakutosha tuone makaburi yakifukuliwa na mizimu ikiibuka hadharani
Hii wiki ya kesho lazima wataalamu wengi saizi wako kwa waganga wanapiga ramli
 
Back
Top Bottom