mkolosai
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 1,578
- 1,104
Hakuna cha mkataba IPTL, hujaona mkurugenzi wa EWURA alivyosombwa na maji leo? Na pia hujaona tamko la EWURA kuwa watatushirikisha wadau wote kuhusu huo mchakato? Mpka sasa process zote zimesitishwa mpk essay turidhie. Subirini mtaitwa pale Karimjee HallEndelea kulia lia tu. Jinamizi la IPTL limeongezewa mkataba mpaka 2025.
Teh teh ccm bwana, mnachekesha na kutia kinyaa,
Aliyekunya juu ya meza (waliosaini mikataba mibovu) ndiyo watakaoibika.
Hii ni hatari kama kula hela za marehemu. Ngoja tuone mkoloni mweusi atafanyaje?
Teh teh teh teh ccm kwa kulalamika.
Bila ccm hii nchi ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Jana tumedraw, uwaziri kapewa mtu wa ccm hana hata knowledge yyte kuhusiana na mpira ila kwasbb ni mwanaccm kapewa. Hela nyingi zinatumika kuwashitaki upinzani
Nilishangaa sana nyasi za simba na basi la serengeti vinapigwa mnada kisa kodi.
Nikajua tayari hapa, hatuhitaji michezo ila tunataka kodi. Na kweli tuendelee kutafuta kodi tu.