Ripoti ya Mrundikano wa watoto wa vigogo BoT (Benki Kuu) yatua mezani kwa Magufuli

Bado naendelea kusoma soma comment za hawa "Team Vilaza", either ni mashambulizi ya wana UDOM waliofukuzwa au ni watu wavivu kiasi wanachindwa kutumia akili kidogo walizo bambikwa!! Ukitaka kuelewa ninacho sema pitia commentz za:
DuppyConqueror
shangata
HEKIMA KWANZA
kalimizzle
music mimi
Masiya
Sophist
mtayeshelwa
Mwana
lushenshe
MALCOM LUMUMBA

Kisha fananisha na comments zako/zao/zenu.
 
Mnasema tuu sababu hamjapata nafasi...ukipata nafasi utatamani mwanao awe sehemu nzuri...
Sikatai ila awe na sifa na pia utaratibu ufwate wa kupata hiyo kazi na apambane kwenye interview na wengine sio kuandikiana vimemo.
 
Sikatai ila awe na sifa na pia utaratibu ufwate wa kupata hiyo kazi na apambane kwenye interview na wengine sio kuandikiana vimemo.
Mbona mnamsakama mtoto wa Magufuli wakat amefata sheria ya elimu ya kwamba alifeli form4 akaenda kusoma diploma Magogoni hapo na baada ya hapo akaenda UDOM tokana na ufaulu wake...mbona hajaenda UDSM..
 
Vilevile na hao watoto wa vigogo inatakiwa waangalie kama waliingia Ofisin kihalali au kwa njia ya Memo hicho ndo kikubwa.
 
Mbona mnamsakama mtoto wa Magufuli wakat amefata sheria ya elimu ya kwamba alifeli form4 akaenda kusoma diploma Magogoni hapo na baada ya hapo akaenda UDOM tokana na ufaulu wake...mbona hajaenda UDSM..
Duhh hii nayo mpya, amesoma Diploma Chuo cha Magogoni? Alianza lini hapo Magogoni na akahitimu mwaka gani?
 
nakubaliana na wanao amini katika selikali kuja na tukio jipya kila wiki,kunavitu vitapotea hapa kimyakimyaaa
 
Kwa sasa haaminiki....anawatumbuaje wa wenzie wakati wa kwake pia hayuko kihalali udom.....hatukubaliani naye kwa lolote kwa sasa....aanze kwanza na la kwake.....pia ametuchosha na hii staili yake ya kufukuza fukuza....na tangu aanze sijaona badiliko katika Maisha yangu labda aseme atanigawia mshahara wa hao anaowafukuza....bahati mbaya usaha wa jipu sio blueband ya mkate
Sema amekuchosha ww,na kama huoni badiliko,ulitaka afanye nn?hihivkama mtto wake alipitia certificate alafu Diploma, ndio akaingia chuo,who knows,acha uvivu was kufikiri,pia Fanya ,kazi badiliko haliji kwa kukaa na kulalamika.
 
MALCOM LUMUMBA, Hii signature yako hapa chini nimecheka mpaka basi. Thanks, it is very educative.
Its only when a mosquito lands on your testicles, that you realize there is always a way to solve problems without using violence
 
Nia ya Rais Magufuli ni njema kabisa kwa nchi yetu. Na yeye ni mzazi na mtoto wake Jesca kapitia kote kama inavyotakiwa. Kupata alama chache kidato cha nne siyo mwisho.

Yeye ni mfano mzuri kwamba hakufanya vizuri wakati fulani kama ishara ya kujikwaa. Lakini alinyanyuka na kusonga mbele sasa yuko UDOM kwa kupitia njia zote sahihi. Unadhani kama angependa shortcut wakati Magufuli alipokuwa Waziri pamoja na Jesca kupata points 30 kidato cha nne asingeweza kupelekwa kusoma degree Amerika? Lakini Magufuli hakifanya hivyo Jesca yupo TZ na anasoma na watoto wa wataz wenzeke UDOM.

Jamani Rais Magufuli afanye nini ili tutambue na kuelewa kwamba anafanya kazi? Kama nchi ingeendelea kama ilivyokuwa inaendeshwa hakika siku moja ingetumbukia mtoni ni ingebaki jina tu lakini hakuna Nchi/Taifa kiuhalisia. Hata hivyo yeye siyo malaika na hivyo hawezi na haitegemewi aridhishe kila mtu. Cha msingi atende kwa mujibu wa sheria na asimuonee mwananchi yeyote.
 
Kwa sasa haaminiki....anawatumbuaje wa wenzie wakati wa kwake pia hayuko kihalali udom.....hatukubaliani naye kwa lolote kwa sasa....aanze kwanza na la kwake.....pia ametuchosha na hii staili yake ya kufukuza fukuza....na tangu aanze sijaona badiliko katika Maisha yangu labda aseme atanigawia mshahara wa hao anaowafukuza....bahati mbaya usaha wa jipu sio blueband ya mkate
ipo siku utaelewa anaxhokifanya. kwa mtazamo wako hafifu huwezi jua. kama unafikiri akujaze hela mifukoni mwako basi nakuonea huruma sana maana akili za vilaza ni za vilza tu hata iweje. kilaza ni kilaza tu.
 
Off course mwandishi wa habari wa NIPASHE amejitahidi tu kubalance story lakini kifupi BoT kunanuka aisee.

Kulekuna watoto wa vigogo tupu ambao hata elimu zao wengi ni form 4 tu, lakini ukielezwa ofisi wanazoshikilia unaweza mpaka kichwa kikakuuma.

Binafsi nawajua wawili, yaani ni aibu aisee.
JF sio kijiwe cha porojo tafadhali wataje majina hao watoto wa vigogo walioshia kidato cha nne halafu wanashika nyadhifa muhimu BOT. kuna wengine wapo BOT na kazi yao ni kuhesabu hela, wengine watu wa stoo sasa hao wanaoshika nyadhifa kubwa na elimu ndogo tudadavulie. nadhani watu wengi hawaelewi mifumo ya BOT. sio kama halamashauri au wizarani
 
Back
Top Bottom