Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2020/21

Hao wakaguzi wanaotumwa na CAG wanayoonesha tu maovu Kama ma 3 hivi Kati ya 100, Wana maisha mazuri kwa kupokea Rushwa wakati wa ukaguzi, madudu mengi wanaficha kwakuwa wanapewaga pesa huko wanapoenda kukagua , na pesa wanazolipwa ni hizo hizo Kodi za Wananchi. Hakuna kitu,

Hizo riport Zinazotolewa ni the best you can have, zoezi la ukaguzi ni zoezi la kupiga hela. Nyie mnapagawa na riport , je wakifanya kwa uwazi , wote mtaandamana hayo madudu

Nimemaliza.
Taasisi hizi zote za masuala ya ukaguzi ni hatari kwa rushwa..upande wa cag hao jamaa wakikuta hoja huwa wanakomalia wakipewa kifungu cha maana wanafuta hoja..hoja nyingi sana hufutwa.

Nivyema kuwe na vyombo angalau viwili kila kimoja vyenye weredi.

Ila kimsingi hali sio nzuri.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hakuna pa kuponea. Muda mwingine unasema bora na wewe ukipata gep upige tu. Lakini pia vilio kama hivi inawezekana mtu kapigwa ripoti kali anakuja humu kuchafua watu. Maana ile ripoti kuna sehemu madudu yameanikwa mbaya kabisa
 
Hao wakaguzi wanaotumwa na CAG wanayoonesha tu maovu Kama ma 3 hivi Kati ya 100, Wana maisha mazuri kwa kupokea Rushwa wakati wa ukaguzi, madudu mengi wanaficha kwakuwa wanapewaga pesa huko wanapoenda kukagua , na pesa wanazolipwa ni hizo hizo Kodi za Wananchi. Hakuna kitu,

Hizo riport Zinazotolewa ni the best you can have, zoezi la ukaguzi ni zoezi la kupiga hela. Nyie mnapagawa na riport , je wakifanya kwa uwazi , wote mtaandamana hayo madudu

Nimemaliza.
Somesha nawewe watoto zako waje wapige pesa mzee baba,,
 
Hao wakaguzi wanaotumwa na CAG wanayoonesha tu maovu Kama ma 3 hivi Kati ya 100, Wana maisha mazuri kwa kupokea Rushwa wakati wa ukaguzi, madudu mengi wanaficha kwakuwa wanapewaga pesa huko wanapoenda kukagua , na pesa wanazolipwa ni hizo hizo Kodi za Wananchi. Hakuna kitu,

Hizo riport Zinazotolewa ni the best you can have, zoezi la ukaguzi ni zoezi la kupiga hela. Nyie mnapagawa na riport , je wakifanya kwa uwazi , wote mtaandamana hayo madudu

Nimemaliza.
True maana uozo ni mwingi Sana
 
Taarifa ya UKAGUZI wa Mwaka huu imeonyesha udhaifu mkubwa nilicheka kuona Tanesco Iko vizuri hapohapo mama yao nae kaja na taarifa ya ukaguzi ya mfukoni kwake eti Tanesco imesabisha hasara mkandarrasi wa bwawa la umeme la Nyerere kwa kukakta umeme tukalipa mkandarasi mabilioni Sasa mkaguzi CAG hakuliona Hilo,CAG ananifanya nione katiba MPYA ije hata saa hizi
Hakuna siku ambayo ripoti ya CAG imewahi kuwa nzuri.
 
Hao wakaguzi wanaotumwa na CAG wanayoonesha tu maovu Kama ma 3 hivi Kati ya 100, Wana maisha mazuri kwa kupokea Rushwa wakati wa ukaguzi, madudu mengi wanaficha kwakuwa wanapewaga pesa huko wanapoenda kukagua , na pesa wanazolipwa ni hizo hizo Kodi za Wananchi. Hakuna kitu,

Hizo riport Zinazotolewa ni the best you can have, zoezi la ukaguzi ni zoezi la kupiga hela. Nyie mnapagawa na riport , je wakifanya kwa uwazi , wote mtaandamana hayo madudu

Nimemaliza.
Screenshot_20220414-145349.jpg
 
Very true, mke wangu ni mhasibu serikalini, ananiambia baada ya Polisi, staff wa CAG ni namba mbili kwa kula rushwa. hizi ripoti za PCCB ni uchafu mwingine
 
Back
Top Bottom