Ripoti ya kusimamishwa viongozi bandari iko wapi?

Ndonya

Member
Oct 14, 2012
34
4
Ndugu wana jf kama kuna mtu mwenye taarifa kuhusu matokeo ya ripoti ya kusimamishwa kazi kwa mkurugenzi wa bandari pamoja na maofisa wengene, je ameshatoa ripoti yake au ndio yale yale, ripoti kapuni na kuendelea kuwaweka viongozi wa kukaimu ambao awana mamlaka kamili, mwisho wa siku badala ya kuondoa tatizo ndio linakuwa zaidi.
 
Back
Top Bottom