Ripoti ya kiwira - muhimu

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,571
Someni then , mseme mlitegemea CCM Dodoma wafanye kitu kuhusiana na ufisadi ?
 
Attachments

  • maoni suala la kiwira.doc
    342 KB · Views: 205
Angalia wanachosema kwenye kifungu cha 2.1.3 na kile cha utekelezaji cha 3.2 maana yake nini?
 
Halafu Kikwete anasubiriwa kuidhinisha malipo ya shilingi 17 billioni kwa Mkapa eti "kumfidia gharama alizoingia alipoamua kununua Kiwira." Mbali ya hapo Mkapa aliidhinisha matumizi ya shilingi bilioni 10 za Serikali eti "kuukarabati" mgodi ule na mkopo wa shilingi bilioni 7 aliouchukua NSSF hadi leo hajarudisha hata senti tano. WIZI MTUPU!
 
Ungemalizia kwa kusema kuwa Bunge linasema kuwa limeridhika na jinsi serikali ilivyotekeleza maazimio ya Bunge
 
Back
Top Bottom