Ripoti ya Kamati ya Shellukindo iliyofunga mjadala wa Richmond

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,571
Nimeona niiweke hapa ili wale ambao hawakupata nafasi ya kuisikiliza taarifa hii waweze kuiona na kutoa maoni kikamilifu.
 
Attachments

  • UTEKE MAAZIMIO RICHMOND 2010.doc
    389.5 KB · Views: 232
Asante mzee, ila tu napata kauvivu fulani kuipitia kwasababu wenye mabavu wamesha ''Funika Kombe'' .....!
 
Asante mzee, ila tu napata kauvivu fulani kuipitia kwasababu wenye mabavu wamesha ''Funika Kombe'' .....!

Kuna sababu za kuisoma kwani utaweza kuona ni wapi haswa pamefanyika usanii ...na ukiilinganisha na ile iliyopita utaona kabisa kuwa kuna watu wamesalimu amri na sasa watakuwa na wao wanaimba zile nyimbo za kuwasifia mafisadi.
 
Uelewa kuhusiana na jambo fulani ni muhimu na mara nyingi ni silaha katika maisha! Hivyo, tuisome taarifa hii kwa ufahamu wetu.
 
Kuna sababu za kuisoma kwani utaweza kuona ni wapi haswa pamefanyika usanii ...na ukiilinganisha na ile iliyopita utaona kabisa kuwa kuna watu wamesalimu amri na sasa watakuwa na wao wanaimba zile nyimbo za kuwasifia mafisadi.

Uko sahihi, binafsi naipitia lakini to be honesty sijafurahia sana usanii ulivyofanyika kwenye hili sakata! Kodi za wanachi zimetafunwa kwanza na Richmod, pili hawa ma-middle men wao, tatu vishoka kina RA, EL! Kana kwamba haitoshi, kina Mwakyembe na kamati yao wametumia pesa nyingi hapa, kamati ndogo ya serikali nayo imetumia pesa......then at the end wanaishia tu kufunika kombe? very painful!

Mambo ya Friday hayo!

Bora mzee mwenzangu umeona hapo, Ijumaa imeingia akili haifanyi kazi kabisa.......!
 
I hate to see government & parliament's documents in plain word document format. i hate.... %^&*@%^@!(#^@#$^&
 
I hate to see government & parliament's documents in plain word document format. i hate.... %^&*@%^@!(#^@#$^&
Do not just hate , inawezekana nimeshiriki kuitengeneza je? huwa doc zao ziko kwenye pdf kama ni for public consumption, ila kama hazijawa public then zinakuwa kwenye word.

Hapa imewekwa kwa ajili ya kuhabarishana na hata ya Kiwira ntaiweka hapa soon.
 
Asante kwa taarifa. Binafsi nilikuwa naitafuta sana. Sasa mkuu tunasubiri hiyo ya kiwira. Tuzichambue na kuonyesha umma wa ulimwengu ufisadi wetu

mpa
 
Jamani, najua ile ripoti ilikuwepo mahali fulani hapa, naitafuta siioni.. mtu yeyote mwenye kuwa nayo tafadhali.. au kujua ilikofichwa. MoDs please...
 
Tatizo la ccm definition yao hadi leo siasa ni mchezo mchafu...hawajui kuwa maana hiyo inabadilika kutokana na muda.
 
I hate to see government & parliament's documents in plain word document format. i hate.... %^&*@%^@!(#^@#$^&

Why bother mkuu Kasheshe... still the same smelly ShIII only different file format, isn't it!!
 
I hate to see government & parliament's documents in plain word document format. i hate.... %^&*@%^@!(#^@#$^&

they are not "government and parliament's documents" sire.. when they become as such we are under tyranny. These are the people's document a.k.a ours! When they want them to become theirs.. they should stop taxing us to finance their meetings, life, and lifestyle.
 
Back
Top Bottom