Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Nimeona taarifa ya ikulu jumatatu ile kamati ya rais ya pili kuhusu madini itawasiisha ripot yake na vyombo vyote vya habari vitakuwa mubashara.
Ni japo jema sikatai,Ila lazima Watanzania muwe mkini.Mtakumbuka siku hiyo hiyo ndio kambi rasmi bungeni inasoma bajeti yake ya 2017/18 na bajeti hiyo itakuwa imejaa madini
Upo uwezekano ccm wanataka kututoa kwenye mjadala wabkujadili bajeti hiyo ukizingatia ile ya serekali haijasheheni matarajio ya wanyonge zaidi ya kuendelea kunyonya wanyonge wa nchi hii.
Chonde watanzania tusikubali kuhamishwa kwenye mjadala mzito wa bajeti.Ndio maana ripoti imepangiwa muda huo huo bajeti ya upinzani itakuwa inasomwa na ilistahili kuwa live.Tujiongeze,Kwanini ripot ya kamati ya rais isingewasilishwa next day?Ili kutoa nafasi kwa bajeti ya KRU?Sinema!