Ripoti ya kamati ya Moto soko la Kariakoo imeshamalizika na kukabidhiwa?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Tangu janga la moto, waziri mkuu aliunda kamati ya uchunguzi akaipa wiki moja, then ikaongezewa wiki ya pili!

Hivi sasa mwezi umepita bado kimya, Je tuendelee kusubiri report au LAH?
 
SUBIRI ATAFUTWE WA KUBAMBIKIZIWA HIYO KESI
 
Siku saba bado hazijaanza kuhesabiwa hadi December 11 ndiyo tunaanza kuzihesabu 😜
691E2D34-82B6-47DF-88FF-C8D4D12A9C2C.jpeg

Tangu janga la moto, waziri mkuu aliunda kamati ya uchunguzi akaipa wiki moja, then ikaongezewa wiki ya pili!

Hivi sasa mwezi umepita bado kimya, Je tuendelee kusubiri report au LAH?
 
Achana na mambo ya serikali , wanaweza wakafanya tukio la kutisha ili mradi ku spin mambo!! Kama MV bukoba ilizama na watu 1000+ ili kiongozi wa alqaeda afe ndio itakuwa biadhaa tu za k/koo?
 
wewe utakuwa Da Vinci kuna fumbo hapo king kong
Mv Bukoba ni 1996 wakati wa Ben Mkapa
walikufa 800+
Kiongozi wa May 2 / 2011
ila kabla ya Kariakoo Mama alipita na akaweka mkwara ukaguzi wa kina ufanyike
juzi Waziri mkuu kapewa taarifa anaifanyia kazi ni yake na sio yetu
 
Duh
 
Achana na mambo ya serikali , wanaweza wakafanya tukio la kutisha ili mradi ku spin mambo!! Kama MV bukoba ilizama na watu 1000+ ili kiongozi wa alqaeda afe ndio itakuwa biadhaa tu za k/koo?
Mkuu dadavua vizur tuelewe na sis tusiojua kugungua code
 
Tangu janga la moto, waziri mkuu aliunda kamati ya uchunguzi akaipa wiki moja, then ikaongezewa wiki ya pili!

Hivi sasa mwezi umepita bado kimya, Je tuendelee kusubiri report au LAH?
Ilishakabidhiwa tangu last week...kwa wahusika tuu na mapendekezo kama yote.. Na kabla ya makabidhiano 'wafanyabiashara wachache' waliokuwa na bima za biashara zao wakalipwa!
 
Back
Top Bottom