Ripoti ya IMF: Tanzania haimo katika nchi 10 za Afrika chini ya Jangwa la Sahara zenye uchumi unaokua kwa kasi zaidi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
3AD9503B-F8FE-4C83-87F1-F03A0AAF3AA6.jpeg

Chanzo
 
Ningeshangaa kama Rwanda yangu isingekuwepo.

Kuna wale Mapopoma / Wapuuzi ambao huwa nikiwaambia kuwa Rwanda chini ya Rais Paul Kagame iko Imara hudhani natania na sasa data zinajionyesha zenyewe.

Kadri mnavyozidi Kuichukia Rwanda, Wanyarwanda hasa Sisi wa Kabila la Watutsi na Rais wetu Kipenzi Kagame ndiyo Kwanza tunawaacha Kimaendeleo na nyie mnabaki kuwa hapo hapo huku mkiendeleza Majungu yenu na Wivu wenu kwa Rwanda.

Asante Mwenyezi Mungu, Asanteni Wanyarwanda na Rwanda yetu izidi tu Kubarikiwa daima, milele Amina.
 
GENTAMYCINE

Mkuu ukubwa wa Rwanda ni kama wilaya moja tu hapa Tanzania, wilaya ya Temeke inaweza kuwa sawa na Rwanda kiukubwa. Nafikiri hata wewe ukiambiwa ukawe Rais wa Rwanda na ukashindwa kuleta maendeleo tunaweza kukuita popoma plus.

Kagame anaweza kufanya ziara ya nchi yote ya Rwanda ndani ya siku moja tu na akamaliza.. Pia historia ya Rwanda mpaka hapo ilipo imechagizwa sana na huruma za mabeberu na jumuiya za kimataifa baada ya ile genocide.. Kumuona PK genius ni upumbavu ulioje maana huhitaji maajabu kuifanya nchi yenye ukubwa wa wilaya moja ya tanzania na population ya karibia 11mil kuwa na maendeleo..
 
Mkuu ukubwa wa Rwanda ni kama wilaya moja tu hapa Tanzania, wilaya ya Temeke inaweza kuwa sawa na Rwanda kiukubwa. Nafikiri hata wewe ukiambiwa ukawe Rais wa Rwanda na ukashindwa kuleta maendeleo tunaweza kukuita popoma plus.

Kagame anaweza kufanya ziara ya nchi yote ya Rwanda ndani ya siku moja tu na akamaliza.. Pia historia ya Rwanda mpaka hapo ilipo imechagizwa sana na huruma za mabeberu na jumuiya za kimataifa baada ya ile genocide.. Kumuona PK geneous ni upumbavu ulioje maana huhitaji maajabu kuifanya nchi yenye ukubwa wa wilaya moja ya tanzania na population ya karibia 11mil kuwa na maendeleo..
Umeongopa...
 
Kwahiyo Marekani ni vigumu uchumi wake kua mkubwa kwa kasi kuliko Tanzania kwa vigezo vyako hivyo?
 
Mkuu ukubwa wa Rwanda ni kama wilaya moja tu hapa Tanzania, wilaya ya Temeke inaweza kuwa sawa na Rwanda kiukubwa. Nafikiri hata wewe ukiambiwa ukawe Rais wa Rwanda na ukashindwa kuleta maendeleo tunaweza kukuita popoma plus.

Kagame anaweza kufanya ziara ya nchi yote ya Rwanda ndani ya siku moja tu na akamaliza.. Pia historia ya Rwanda mpaka hapo ilipo imechagizwa sana na huruma za mabeberu na jumuiya za kimataifa baada ya ile genocide.. Kumuona PK geneous ni upumbavu ulioje maana huhitaji maajabu kuifanya nchi yenye ukubwa wa wilaya moja ya tanzania na population ya karibia 11mil kuwa na maendeleo..
Bora umemjibu uyo popoma, ana mihemko akisikia rwanda.anaongozwa na hisia badala ya weledi
 
Mkuu ukubwa wa Rwanda ni kama wilaya moja tu hapa Tanzania, wilaya ya Temeke inaweza kuwa sawa na Rwanda kiukubwa. Nafikiri hata wewe ukiambiwa ukawe Rais wa Rwanda na ukashindwa kuleta maendeleo tunaweza kukuita popoma plus.

Kagame anaweza kufanya ziara ya nchi yote ya Rwanda ndani ya siku moja tu na akamaliza.. Pia historia ya Rwanda mpaka hapo ilipo imechagizwa sana na huruma za mabeberu na jumuiya za kimataifa baada ya ile genocide.. Kumuona PK geneous ni upumbavu ulioje maana huhitaji maajabu kuifanya nchi yenye ukubwa wa wilaya moja ya tanzania na population ya karibia 11mil kuwa na maendeleo..
Vipi Ethiopia nayo ni kama wilaya ya Ilala?!
 
acha kuhadaa watu. rwanda populatio ni 12 milion na sisi ni 54 milioni. fedha ya rwanda ina thamani mara tatu zaidi kuliko yetu.
 
Takwimu hizi kwangu huwa ni BS..., mwananchi, maskini mwenye njaa na matatizo haitaji kuambiwa uchumi unakuwa kwa kasi wakati tumbo lake na njaa yake ndio kipimo tosha...
 
Mkuu ukubwa wa Rwanda ni kama wilaya moja tu hapa Tanzania, wilaya ya Temeke inaweza kuwa sawa na Rwanda kiukubwa. Nafikiri hata wewe ukiambiwa ukawe Rais wa Rwanda na ukashindwa kuleta maendeleo tunaweza kukuita popoma plus.

Kagame anaweza kufanya ziara ya nchi yote ya Rwanda ndani ya siku moja tu na akamaliza.. Pia historia ya Rwanda mpaka hapo ilipo imechagizwa sana na huruma za mabeberu na jumuiya za kimataifa baada ya ile genocide.. Kumuona PK geneous ni upumbavu ulioje maana huhitaji maajabu kuifanya nchi yenye ukubwa wa wilaya moja ya tanzania na population ya karibia 11mil kuwa na maendeleo..
Lindi 66,040 km sqr.

Belgium 30,688 km sqr.

Afu linganisha Maendeleo ya Lindi vs Belgium,hahah.
 
Back
Top Bottom