Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 3,983
- 6,283
[/QUOTE]Zitto ndiye Mkurugenzi wa Halmashauri?? Kabla hujanijibu jiulize kwanza kwanini Wakurugenzi wa Halmashauri ni Wateule wa Rais?? Hapo ni nani atakayemgusa mteule wa Mtukufu??HIVI ZITO ALISHAELEZEA KWANINI HALMASHAURI YAKE IMEPATA HATI CHAFU? HATUJAWAHI KUONA AKIKEMEA JAMBO LOLOTE LILILOSABABISHA HATI CHAFU. APAMBANE KWANZA NA JIMBO LAKE AACHE KUTAFUTA KICK MITANDAONI.
Queen Esther
QUOTE="Salary Slip, post: 31194451, member: 84376"]
Naomba leo nikiri kuwa,baada ya Lissu kupigwa risasi na kuwa nje ya nchi kwa matibabu,Ziito Kabwe kwa sasa ndio kachukua nafsi ya Lissu kwa kusema ukweli bila kuogopa na hakika ameweza.
Muda mfupi uliopita,kupitia twitter na facebook,ameamua kumtolea uvivu bwana mkubwa kwa kufanya manunuzi ya mabilioni pasipo kufuata sheria za matumizi ya fedha za umma.
Kupitia facebook,ndio unaweza kupata kwa urahisi yote aliyoyasema kuhusu jambo hili.
Mwisho.Pamoja na appreciation hii kwa Zitto,namshauri awe makini sana katika nyendo zake.